LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,106
- 27,085
Kwa mfano wewe unaitwa Abduly alias Duly halafu binti yako anakuja anakwambia " Hivi sasa hivi ni saa ngapi Duly"? Oh sory sasa hivi sa ngapi baba?
Imemtokea jamaa yetu wa kitaa kaja kuomba ushauri kwa washkaji.
Ni mshikaji tu he was born in 1985 and the daughter was born in 2002 when he was 17 and at that time he was a form four student.
Yeye na binti yake ambae yupo kidato cha 5 now wana uhusiano mzuri tu. Matter fact yeye ndo anamsomesha toka yupo darasa la sita na alichukuliwa kwa mama ake na kuanza kulelewa nyumbani kwao na jamaa since she was two.
Jamaa anasema ime frustrate sana. Anajiuliza what does it mean?. He believes haijatokea bahati mbaya. Anaifananisha na ishu ya mpenzi wako wa kike kukuita jina la mwanaume mwingine kwa bahati mbaya kwamba huyo mwanaume mwingine ndio yupo moyoni mwake and not you therefore binti yake kumuita yeye Dully maana yake ni kwamba ndani ya moyo wa binti yake he is just Dully like any other Dullies and not a father.
Anasema anahisi binti yake amekosa maadili mema kinyume na matarajio yake.
Anasema anahisi binti yake ameanza kuwa na kibri, jeuri na ukosefu wa adabu wa kiwango cha lami. Kama amediriki kumkosea heshima baba ake kwa kumu address kwa jina lake basi hakuna jambo la ukosefu wa adabu ambalo atashindwa kulifanya kwa watu wengjne.
He is concerned about maisha ya binti yake in his presence.
He blvs a father who has not prepared his children for his death has failed as a father.
He is so frusrated. Tumekosa cha kumshauri.
Ushauri wako please