What will do if ur daughter mistakenly addresses u by ur name

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,893
Points
2,000

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,893 2,000
Kwa mfano wewe unaitwa Abduly alias Duly halafu binti yako anakuja anakwambia " Hivi sasa hivi ni saa ngapi Duly"? Oh sory sasa hivi sa ngapi baba?

Imemtokea jamaa yetu wa kitaa kaja kuomba ushauri kwa washkaji.

Ni mshikaji tu he was born in 1985 and the daughter was born in 2002 when he was 17 and at that time he was a form four student.

Yeye na binti yake ambae yupo kidato cha 5 now wana uhusiano mzuri tu. Matter fact yeye ndo anamsomesha toka yupo darasa la sita na alichukuliwa kwa mama ake na kuanza kulelewa nyumbani kwao na jamaa since she was two.

Jamaa anasema ime frustrate sana. Anajiuliza what does it mean?. He believes haijatokea bahati mbaya. Anaifananisha na ishu ya mpenzi wako wa kike kukuita jina la mwanaume mwingine kwa bahati mbaya kwamba huyo mwanaume mwingine ndio yupo moyoni mwake and not you therefore binti yake kumuita yeye Dully maana yake ni kwamba ndani ya moyo wa binti yake he is just Dully like any other Dullies and not a father.

Anasema anahisi binti yake amekosa maadili mema kinyume na matarajio yake.

Anasema anahisi binti yake ameanza kuwa na kibri, jeuri na ukosefu wa adabu wa kiwango cha lami. Kama amediriki kumkosea heshima baba ake kwa kumu address kwa jina lake basi hakuna jambo la ukosefu wa adabu ambalo atashindwa kulifanya kwa watu wengjne.

He is concerned about maisha ya binti yake in his presence.

He blvs a father who has not prepared his children for his death has failed as a father.

He is so frusrated. Tumekosa cha kumshauri.

Ushauri wako please
 
mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,183
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,183 2,000
Kwahiyo anaona wivu au??

Mbona ni kawaida, ukizingatia ni 17.
Yeye awaeleze ukweli ni kipi kinamkwaza, maana mbaba wivu kwa mwanae sio jambo la kawaida.
 
Anahisi binti yake atakuwa kapotoka kimaadili na ameanza kuwa na kibri na jeuri plus hana adabu vitu ambavyo anasema hataki kabisa binti yake awe navyo.

Anataka binti yake awe mwenye nidhamu
 
mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,183
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,183 2,000
Anahisi binti yake atakuwa kapotoka kimaadili na ameanza kuwa na kibri na jeuri plus hana adabu vitu ambavyo anasema hataki kabisa binti yake awe navyo.

Anataka binti yake awe mwenye nidhamu
Huyo binti atakiwa na rafiki wa jina hilo, simple.
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
7,259
Points
2,000

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
7,259 2,000
Anahisi binti yake atakuwa kapotoka kimaadili na ameanza kuwa na kibri na jeuri plus hana adabu vitu ambavyo anasema hataki kabisa binti yake awe navyo.

Anataka binti yake awe mwenye nidhamu
Like father like daughter! Yeye ndiye aliyeanza kukosa nidhamu kwa kuanza kufanya biology kabla ya wakati.
 
Jael

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
64,818
Points
2,000

Jael

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
64,818 2,000

Ajitafakari sanaaa, namna anavyohusika kwenye malezi ya huyo binti, namna anavyoishi yeye binafsi kwa ujumla.
 
Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
5,014
Points
2,000

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
5,014 2,000
Kwa mfano wewe unaitwa Abduly alias Duly halafu binti yako anakuja anakwambia " Hivi sasa hivi ni saa ngapi Duly"? Oh sory sasa hivi sa ngapi baba?

Imemtokea jamaa yetu wa kitaa kaja kuomba ushauri kwa washkaji.

Ni mshikaji tu he was born in 1985 and the daughter was born in 2002 when he was 17 and at that time he was a form four student.

Yeye na binti yake ambae yupo kidato cha 5 now wana uhusiano mzuri tu. Matter fact yeye ndo anamsomesha toka yupo darasa la sita na alichukuliwa kwa mama ake na kuanza kulelewa nyumbani kwao na jamaa since she was two.

Jamaa anasema ime frustrate sana. Anajiuliza what does it mean?. He believes haijatokea bahati mbaya. Anaifananisha na ishu ya mpenzi wako wa kike kukuita jina la mwanaume mwingine kwa bahati mbaya kwamba huyo mwanaume mwingine ndio yupo moyoni mwake and not you therefore binti yake kumuita yeye Dully maana yake ni kwamba ndani ya moyo wa binti yake he is just Dully like any other Dullies and not a father.

Anasema anahisi binti yake amekosa maadili mema kinyume na matarajio yake.

Anasema anahisi binti yake ameanza kuwa na kibri, jeuri na ukosefu wa adabu wa kiwango cha lami. Kama amediriki kumkosea heshima baba ake kwa kumu address kwa jina lake basi hakuna jambo la ukosefu wa adabu ambalo atashindwa kulifanya kwa watu wengjne.

He is concerned about maisha ya binti yake in his presence.

He blvs a father who has not prepared his children for his death has failed as a father.

He is so frusrated. Tumekosa cha kumshauri.

Ushauri wako please
Mkuu Binti yako amekuzoea sana, anatakiwa aweke mipaka na utani, Mwanao anakupenda sana, inabidi wakati mwingine kuwa mkali.
 
kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
4,574
Points
2,000

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
4,574 2,000
Kwani wengine wanavoitwa dadii mnaichukuliaje. Watoto wenu mnapoacha kuwapa majina ya ukoo na kuishia kwenye majina ya mwanzo mnaichukuliaje. Mtoto anaitwa Jenifa Jeffrey badala ya Jenifa Mapunda. Watoto wa kuanzia 2000s uzungu umewajaa coz tunawalea hivo. Hakuna kibaya hapo as long as hajamwita jina la utani.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,893
Points
2,000

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,893 2,000
Bora akuite Dadii kuliko John
Kwani wengine wanavoitwa dadii mnaichukuliaje. Watoto wenu mnapoacha kuwapa majina ya ukoo na kuishia kwenye majina ya mwanzo mnaichukuliaje. Mtoto anaitwa Jenifa Jeffrey badala ya Jenifa Mapunda. Watoto wa kuanzia 2000s uzungu umewajaa coz tunawalea hivo. Hakuna kibaya hapo as long as hajamwita jina la utani.
 
Forum statistics

Threads 1,381,426
Members 526,090
Posts 33,799,879
Top