Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Hilo nami nimeliona na nilishaanzisha thread humu hasa alipoanza kuwa sign wale madogo wa alikiba, nikasema Ibra hajamfikisha anapostahili halafu ana saini wengine wakati pia na yeye hafanyi vizuri kama awali. Nilishambuliwa wakiniita hater wengine wakisema mimi team WCB, wakati mimi nilikuwa ni mmoja wa wale waliomtakia kheri alipohama WCB nikiona kijana anajitafutia mafainikio zaidi.Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi...
Tatizo la nchi hii ni vigumu kutoa ushauri wa kujenga maana wananchi wanaamini katika mambo haya.
Ukisifia mazuri ya serikali wewe ni CCM na ukiponda wewe ni CHADEMA
Ukirekebisha Mabaya ya WCB basi wewe ni team ALikiba au Harmonize, na Ukisifia WCB wewe ni team DOmo and verse versa ndiyo ukweli.
Hakuna mtu kuwa neutral, yani watu tunatazama mambo kwa mlengo wa uteam tu.