What was my mistake?

Ilikuwaje yeye mwenyewe akakubali mpaka kufika guest house??
Mkuu, hiyo siku ya appointment tulikubaliana vizuri and everything was going ok! lakini muda mfupi tu baada ya kuingia gest mtu akaanza kulia bila kusema ni kwa nini analia. nilibembeleza 3 hours na hadi aliponyamaza, i was totally bored and I decided to quit the place.
 
Aliona kibamia? au hukuwa umevua nguo? maana mwenzangu asije akawa ameona asipoteze muda maybe, ila pia inaweza kuwa ni technique yake. just be happy and propose to her, i think she is good girl
 
Few months ago, I fell in love with a certain young lady. Our love lasted just for three months before I was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned to have sex for the first time.

We did not have sex on that day because my love was crying all the time in that room in the guest house and I did not know the reason why she was crying. the next day, she just abandoned me and she never gave me the reason other than saying "nipe muda nijifunze kukupenda"

Up to the Moment sijajua kama bado anajifunza kunipenda kwa sababu alinichunia na hajawahi kuongea na mimi tena. wana JF, tatizo ni nini na kosa langu ni lipi? Nisaidieni

Shukuru Mungu kakuepusha na zinaa. Tafuta mke muoane.
 
Aliona kibamia? au hukuwa umevua nguo? maana mwenzangu asije akawa ameona asipoteze muda maybe, ila pia inaweza kuwa ni technique yake. just be happy and propose to her, i think she is good girl

What is kibamia???!!! Na kinapatikana sehemu gani?
 
few months ago, i fell in love with a certain young lady. our love lasted just for three months before i was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned to have sex for the first time.

We did not have sex on that day because my love was crying all the time in that room in the guest house and i did not know the reason why she was crying. The next day, she just abandoned me and she never gave me the reason other than saying "nipe muda nijifunze kukupenda"

up to the moment sijajua kama bado anajifunza kunipenda kwa sababu alinichunia na hajawahi kuongea na mimi tena. Wana jf, tatizo ni nini na kosa langu ni lipi? Nisaidieni

hayo mapenzi yenu ya kukaa muda mrefu bila ku do ndio yanayowakost,........miezi 3 eti mnacheza kidali pooo.....jifunze kuchangamka mapema
 
kwani kumpenda mtu ni lazima kusex?

Babii...naamini wewe ni SHE, kwa hiyo unaweza tu kuwafahamu wanaume kwa imaginations tu!!

Kwetu sisi (HE), LOVE== SEX na si vinginevyo!!!!!! Ndiyo maana tukinyimwa tunaumia sana!!
 
kwani kumpenda mtu ni lazima kusex?

Ukimpenda mtu sio lazima ku sex ila inategemea na aina ya love you are in. I hope you love God but you don't sex with him/her. I was in sex love so sex is part of it
 
katikati hapo, we achana na joke yangu just nenda kamwombe umuoe huyo msichana, si unampenda?

Unajua huwezi tu kusema nikamuoe wakati sina malengo ya kuoa siku za karibuni. Mi nipo very serious nataka kujua kibamia ni nini? unaweza ukapiga picha halafu ukaattach kwenye post inayofuata ili na mimi nisiwe mshamba wa lugha.
 
labda aliona una mzigo mzito lol, ongea nae kwa upendo akujuze kulikoni
 
labda aliona una mzigo mzito lol, ongea nae kwa upendo akujuze kulikoni

Huu mzigo mzito aliuonaje, wakati alianza kulia just few seconds baada tu ya kuingia chumbani wakati hata nguo sijavua. Labda ali assume halafu akajiaminisha kwamba it must be that
 
mistake ni kumpeleka gest? Aliona unamdhalilisha kwani yeye changu?

Kwa hiyo ni machangu tu ndo wanaokwenda kulala guest. Na wewe siku ukiwa ugenini halafu then ukalala guest then you become changu........... ndio hivyo?
 
Alikua analia baada ya kumwonesha kimbilimbi chako..
<br />
<br />
Naona tuu mnamuongezea msamiati
Mara kibamia mara kimbilimbi
Wekeni wazi jamaa ajue asije akakitamka mbele ya mama mkwe
Kibamia a.k.a kimbilimbi ni mashine ndogo mkuu
 
Kwa hiyo ni machangu tu ndo wanaokwenda kulala guest. Na wewe siku ukiwa ugenini halafu then ukalala guest then you become changu........... ndio hivyo?
<br />
<br />
Mkuu inategemea na hadhi ya hiyo guest maana kuna nyingine ni aibu hata kumpeleka mwanamke wako
Kama ni zile guest za uchochoroni ahhh hata yeye anaona umemshushia hadhi na umemfananisha na dada poa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom