What type of danger is he talking about?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Mafisadi wafanye ufisadi wao! Halafu siri kali inaogopa kuwashughulikia eti kuna hatari kwamba nchi inaweza kulipuka! :confused:

This does make sense at all! Both of you (Mwanyika and Mwema) need to resign as we're tired of your non sense and inability to act against EPA culprits

Police boss warns on EPA probe 'dangers'

By Damas Kanyabwoya
THE CITIZEN

More questions than answers continue to cloud investigations into the Sh133 billion External Payment Account (EPA) scandal.

For the second time within a week, the top level team probing the massive theft of the funds from the Bank of Tanzania, yesterday sought to clear its role before the public.

But a member of the probe team, Inspector General of Police Saidi Mwema, introduced a new intrigue, warning that the EPA investigation posed a great danger to the country. Mr Mwema's remarks, made at a press conference with media editors appeared to thicken the plot in what is turning out to be a riveting probe.

The IGP who was flanked by Attorney General Johnson Mwanyika during the meeting said the investigation if no well handled could blow up the country.

Mr Mwema likened the EPA saga to terrorists who have hijacked a plane and said it required measured approach to solve lest the country was torn apart. However evil the terrorists are, authorities would have to negotiate with them as one mistake can lead to the whole plane being blown up, he said.

He was speaking at a press conference called by the Attorney General to plead more patience from the public on the EPA investigation. Mr Mwema did not however explain how the EPA investigations could blow up the whole country but pleaded for patience pending the completion of the investigations. This country belongs to us all. We are like in a boat. When it capsizes we will all drown.

The EPA issue is complex, it needs high secrecy and we request you to understand that, said the police chief while elaborating why the suspects' identity could not be released yet.

Both the AG and the IGP admitted that there are more questions than answers from the public surrounding the investigation and the circumstances under which nearly Sh60 billion of the EPA money has found its way back to state coffers.

We know there are even people who think we have been corrupted by the suspects but should we seek to clear our names instead of defending the interests of this nation? IGP Mwema queried. The government has been under considerable pressure from the public and activists to name and prosecute immediately the EPA scandal suspects who have been returning the money.

Early this week activists from the Legal and Human Rights Centre said by not revealing the identities of the suspects who return the money the government was damaging its credibility and seeking to protect those involved.

Mr Mwanyika earlier sent a faxed statement to newsrooms saying the team would henceforth not release information over the probe until it finished its work. The sentiment immediately drew a harsh reaction from the public who queries the manner in which the investigation was being handled. The EPA scandal consists of the fraudulent payment of about Sh133 billion made by the Bank of Tanzania to about 22 companies in the financial year 2005/06.

Under pressure from multilateral financial institutions the government commissioned in September 2007 the audit firm Ernst & Young to conduct an audit that revealed gross mismanagement of that account.

President Jakaya Kikwete then proceeded in January to form a task force to investigate the fund misappropriation. He gave it six months to ensure all the money is returned and the people concerned are taken to book.

The task force is chaired by the Attorney General and includes the IGP and the director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).

Mr Mwanyika said yesterday the task force had collected about Sh60 billion in refund from some of the companies involved. He said the money was in the form of cash.

He stated that some property had been seized and the valuation is still being done to determine the real value.

He said no property has been seized outside the country though there was information that some suspects used the EPA money to purchase properties outside the country.

Mr Mwanyika said the priority now is to recover as much as possible of the squandered money and only after that will the suspects be charged in the court of law according to the laws of the country.

We are continuing with the investigation to ensure all those concerned in the EPA scandal are brought to book but the priority is to recover the money, he said. The AG refused to name the companies that have returned money or individuals suspected to have pocketed the money but affirmed that ultimately all suspects will be charged.

Mr Mwanyika said the money laundering Act of 2006, the PCCB Act of 2007 and the Proceeds of Crime Act allow the task team to give priority to the recovery of the money and then prosecute after recovering the money.

He said before the new acts were in place, the priority was to prosecute money embezzlement suspects at times without even recovering the money, causing losses to the nation, but now the laws require that the money be recovered first.

Explaining further, the IGP said in criminal investigation there are two ways of proceeding, depending on the nature or environment of the crime. One is arresting the suspects and then making the investigation and another is making investigation and then arresting the suspects.

In the EPA investigation, he said, it is the latter that is being used. Mr Mwema said mentioning names of suspects simply for the sake of exposing them or tarnishing their image would not help but would seriously hamper the investigation.

Mr Mwanyika said ex-BoT governor Daudi Balali has not been arrested because investigations are still continuing. Once found seriously implicated he would be arrested, he said, refusing to state Mr Balalli's whereabouts. The AG dismissed calls that he resigns because his being implicated in the Richmond scandal has reduced his credibility.

I am a clean person and I will continue maintaining my innocence to the last day, he insisted.

Mfano wa IGP Mwema wa kwamba mafisadi wa EPA ni kama magaidi walioteka ndege wasipojadiliana nao watajilipua unadhihirisha kuwa mafisadi wamemkumbatia Kikwete hivyo akimwaga mboga nao watamwaga ugali utawala wake utaanguka! Njia pekee ni kuendelee kujadili nao kisirisiri. Ama kweli Kagoda, Deep Green nk ni kampuni tanzu za CCM badala ya SUKITA. Na kwamba wakurugenzi wake ni pamoja na wanafamilia wa maswahiba wa Kikwete

Asha
 
Bado sielewei hili la nchi kulipuka kwa kukamatwa mafisadi. Ina maana Watanzania walio wengi wanawatetea mafisadi hivyo kama wakikamatwa asilimia kubwa ya Watanzania wataamua kufanya fujo kila kona ya nchi na hatimaye nchi kulipuka? :confused:

Inabidi watufafanuliwe wana maana gani wanaposema nchi italipuka? Maana wengine hatulioni hili, tunachoona kama mafisadi wakikamatwa na kutiwa ndani wakati uchunguzi unaendelea basi Watanzania wa ndani na nje ya Tanzania watashangilia kwa vigelegele na nderemo kwamba mafisadi hawana pa kujificha ndani ya Tanzania.

Kigezo kimojawapo cha utawala bora si kupambana na mafisadi na wahujumu uchumi, iweje leo tena watendaji wa Kikwete waogope kuwashughulikia mafisadi kwa kuwa nchi italipuka?
 
Posted Date::3/13/2008
'Mafisadi wa EPA sawa na magaidi'
* Mwema asema tahadhari yahitajika kuwanasa

* Asema timu yao pia imekerwa na wizi huo

* Yuko tayari kufukuzwa kuliko kula na fisadi

* Mwanyika asema wamekusanya Sh60 bilioni

Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Said Mwema, amewafananisha watuhumiwa wa ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), sawa na watuhumiwa wa ugaidi ambao wanaweza kuilipua nchi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana kuhusu mchakato unaoendelea katika urejeshaji wa fedha za umma zaidi ya Sh133 bilioni zilizoibwa EPA, Mwema ambaye ni mjumbe wa Timu Maalumu ya Rais ya kusimamia mchakato huo, alisema watu hao wanaweza kuilipua nchi iwapo watafuatwa kwa pupa.

IGP Mwema alisema timu inafahamu kwa kina jinsi Watanzania wanavyokerwa na kuhoji vipi, watuhumiwa hawakamatwi kitu ambacho hata wao (timu) kinawaumiza roho.

Alisema kuna mashaka makubwa miongoni mwa Watanzania kwamba, watu waliotajwa katika ufisadi huo wanapita mijini huku wakitamba, lakini hawakamatwi hali ambayo inawafanya wananchi wahoji kazi ya timu hiyo.

"Kuna mashaka makubwa, watu waliotajwa wanaonekana kupita mijini, wanatamba, watu sasa wanahoji hii timu kazi yake nini? Hili jambo linawakera wengi na sisi pia tunajisikia hivyo hivyo," alisema IGP Mwema na kuongeza:

"Tunaambiwa tunawaogopa, hata sisi inatusikitisha kwanini hatuwakamati, kila mtu anajua na kila mtu anataka wakamatwe, lakini hili suala linahitaji upelelezi wa hali ya juu kwa kuwa linagusa watu wengi na maeneo mengi".

Akisisitiza kuwa hata magaidi wanapoteka ndege na vikosi vikiwemo vya jeshi la ulinzi na polisi vikiwazingira, hawashambulii bali hufanya nao mazungumzo ili wasije wakawalipua mateka.

"Hata sisi tunaficha majina, si kwamba tunataka kula nao bali ni kwasababu ya suala lenyewe lilivyo nyeti na linahitaji umakini," alisema.

Kwa msisitizo, Mwema alienda mbali zaidi baada ya kula kiapo mbele ya wahariri na waandishi waliofika katika mkutano huo, akisema ni bora afukuzwe wadhifa huo wa IGP kuliko kuambiwa amekula fedha na mafisadi.

Mwema akizidi kuonyesha uzito na unyeti wa mchakato huo, alisema roho zinawaenda mbio wakisikia wananchi wakihoji kama fedha hizo zitarudishwa na kukamatwa watuhumiwa.

"Wengine tukiambiwa hili roho zinaenda mbio, mimi nasema bora nifukuzwe U-IGP kuliko kuambiwa nimekula na mafisadi," alisema.

Alisema ni kweli waliotajwa, wapo mijini na hawajakamatwa lakini akafafanua kwamba, kuna njia mbili za kushughulikia makosa ya jinai ambazo ni kukamata kabla ya upelelezi au kupeleleza baada ya kukamata.

"Kuna wengine wenye kandambili wanakamatwa na kufikishwa mahakamani, lakini wenye vitambi na magari ya kifahari hawakamatwi," alisema na kuongeza:

"Naomba nitoe mfano mmoja, mheshimiwa Ditopile aliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi na anaheshimika sana katika nchi hii, lakini tulimkamata kabla ya upelelezi, kwa hiyo sasa tunapeleleza halafu tutakamata, kwani unaweza kukamata kabla, kisha ukapeleleza au kupeleleza halafu ukamate," alifafanua.

Usiri watawala ziliko fedha

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Timu hiyo, Johnson Mwanyika, tofauti na IGP Mwema yeye kama kawaida hakuwa na jipya la kueleza badala yake alishindwa kutoa majibu ya msingi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa.

Mwanyika akionekana dhahiri kushindwa kujieleza huku akijikanyaga katika kauli zake, alisema hadi sasa fedha hizo zinarejeshwa katika akaunti maalumu ambayo alisita kusema imefunguliwa wapi.

Huku akionekana kukosa taarifa mpya za kutoa kwa vyombo vya habari, Mwanyika alishindwa kueleza kwa dhati kiasi cha fedha kilichokusanywa hadi jana badala yake alikisia kwamba ilitarajiwa kuwa Sh60 bilioni.

Hata hiyo taarifa ya Mwanyika imepingana na iliyotolewa jana na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambayo ilisema zilikuwa zimekusanywa Sh64 bilioni.

Alirudia maneno yake ya kusihi Watanzania kuwa na subira huku akishindwa kueleza pia kwamba, katika fedha hizo thamani ya mali ni kiasi gani na fedha taslimu.

"Tathimini ya thamani ya mali ndiyo inaendelea kufanyika, lakini tunajua kuna mali kama nyumba ziko nje, tutazichunguza kuona kama zina uhusiano tutazikamata," alisema.

Kuhusu Daud Ballali kama amekwisha hojiwa au kama kuna uwezekano wa kumleta nchini, alisema hadi sasa uchunguzi umejikita kurejeshwa kwa fedha na kusisitiza iwapo atabainika kuhusika atarejeshwa nchini hapo baadaye.

Mwanyika alipoulizwa vipi anasita kutaja majina ya makampuni ambayo hadi sasa yamekwisha rejesha fedha kati ya 22, wakati tayari Katibu Mkuu Kiongozi aliyataja katika tamko la serikali, alijibu: "Hatuwezi kutaja, tunachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa fedha zinarejeshwa kwanza".

Kuitishwa kwa mkutano wa jana ni ishara kwamba, joto la ufisadi katika EPA limepanda huku shinikizo la wanaharakati likionekana dhahiri kuitikisa timu hiyo na serikali kwa ujumla.

Tayari wanaharakati wamepaza sauti wakiinyoshea kidole timu hiyo iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete, mapema Januari wakihoji utaratibu wa kisheria wa kushindwa kukamata watuhumiwa wa ufisadi wanaorejesha fedha hizo, badala yake wanaachiwa huru.

Ufisadi katika EPA akaunti ambayo ilifunguliwa wakati wa Ujamaa kuziba pengo la ukosefu wa bidhaa uliotokana na ukosefu wa fedha za kigeni, ulijitokeza katika kipindi cha mwaka 2005/06, baada ya ukaguzi wa kimataifa chini ya Kampuni ya Ernst&Young.

Kabla ya Arnst&Young, tayari Kampuni ya Deloitte&Touche ilikwisha anza ukaguzi na kubaini ufisadi huo hasa Sh40 bilioni ambazo zililipwa kwa Kampuni ya Kagoda Agriculture, lakini ghafla mkataba wake na BoT ukasitishwa.

Baada ya kubainika ufisadi huo, Rais Kikwete alitengua mkataba wa Ballali na kuteua gavana mpya huku akiunda timu hiyo na kuipa kazi mbili, kuhakikisha fedha zinarudi na watuhumiwa wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.

Wakati Mwenyekiti wa Timu ya Rais ya Uchunguzi wa Fedha za Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Johnson Mwanyika akisema fedha zilizorejeshwa ni Sh60 bilioni, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema fedha za akaunti hiyo zilizokwisharejeshwa hadi jana zilikuwa ni Sh64 bilioni.

CCM ilieleza hayo kupitia taarifa yake iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana kuhusu kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho (CC) Taifa, kilichojadili mambo mbalimbali, ikiwamo suala hilo katika kikao chake, kilichofanyika chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete, jijini Dar es Salaam juzi.

"Timu hiyo inaendelea kuzibana kampuni husika kurejesha fedha zilizochukuliwa kwa njia haramu. Hadi sasa timu imefanikisha kurejeshwa kwa jumla ya Sh64 bilioni," ilieleza taarifa hiyo iliyosainiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi wa CCM, Kapteni John Chiligati.

Taarifa ya hiyo ilisema kuwa timu hiyo inaendelea kuwabainisha wanahisa wote wa makampuni yaliyochukua fedha hizo kwa njia za udanganyifu na hasa wahusika wakuu wa uchukuaji wa fedha hizo.

Hata hivyo, Kamati Kuu iliipongeza timu hiyo kwa kazi nzuri inayoifanya hadi kufikia sasa na kuitaka iendelee na jitihada za kuhakikisha fedha zote zinarudi na wahusika wakuu wanabainishwa ili sheria ichukue mkondo wake.

Mwanyika wakati akizungumza na waandishi wa habari jana alisema kuwa hadi kufikia jana asubuhi, timu yake ilikuwa imekusanya jumla ya Sh60 bilioni kutoka kwa watu waliochukua fedha hizo.

Hali hiyo ya kutolewa idadi tofauti kati ya timu na Kamati Kuu ya CCM ambacho ndicho chombo cha juu cha maamuzi ya chama tawala, inatia wasiwasi kuhusu ukusanyaji wa fedha hizo.
 
Hivi kweli wewe Kikwete unauchungu na nchi yetu, au nawe yako kama mkapa??
Haya ndo majibu ya watu uliowata sehemu nyeti uko kwenye serikali yenu ya Mafisadi? Angalia majibu yao na jinsi wanavyoyatetea
Hiko siku katiba inayowalinda na unayoitetea itabadilika, hapo ndo mtawajua wananchi wenye uchungu na nchi yao na hata kama mtakuwa hampo, mmeshafariki tutajua jinsi ya kuwaadhibu huko huko mliko

Nakuakikishia, hivi vilio unavyoviona alafu unavifumbia mamcho, ukisubiri 2010, uwende kuwadanganya watanzania tena, iko siku utajutia kwanini ulikuwa Raisi wa nchii hii

Baba H,

kuna watu wanasali lakini sijui wanasali nini kama mambo kama haya ndiyo wanafanya kwa kuwanyanyasa watanzania na kuwafilisi huku wakionyesha arrogance ya hali ya juu kama hii!
 
Back
Top Bottom