What TRA wants from you in 5 yrs

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
BADE.jpg

"We know that Tanzania's economy is growing faster than most other countries in the East African Community and we hope to achieve Sh19 trillion by the 2017/2018 financial years" RISHED BADE, TRA COMMISSIONER GENERAL
By Samuel Kamndaya,The Citizen Reporter

Posted Wednesday, March 18 2015 at 08:35

In Summary

  • TRA boss wants you, the taxpayer, to fully fund the national budget in next five years–but only on condition that the government plays its part too.
  • Taxman says the Budget can be financed through internal revenue if the government plays its part too and reduces lavish spending, which has dominated financial discussions in the nation in the past decade

Dar es Salaam. The Tanzania Revenue Authority (TRA) top boss wants you, the taxpayer, to fully fund the national budget in next five years--but only on condition that the government plays its part too and reduces lavish spending, which has dominated financial discussions in the nation in the past decade.

And that's not all. According to the chief taxman, the government should also reduce external borrowing, which has ballooned in recent years. Consider the four-wheel drive fuel guzzlers which rule Tanzania's roads at a cost of roughly $200,000 each. There are plenty of them on show, despite the government's pledge four years that it would do away with the luxury Toyotas.

And then there is the $800 million set aside during the national budget simply to pay allowances and per diems. Now reflect on how much foreign trips by various leaders cost the nation. And how much corruption costs the economy,

But TRA Commissioner-General Rished Bade says Tanzania is capable of financing its entire budget through funds sourced right here at home in the next five years, raising hope that East Africa's second largest economy is on the right path to economic independence.

He told The Citizen in an exclusive interview in his office yesterday that, going by the trend of Tanzania's economic growth, TRA should be in a position to garner enough revenue to support the entire budget. "In five years, we should be able to do that," the former Barclays Bank Tanzania managing director told The Citizen.

But to achieve this, Tanzania needs to slow down on budget expansion by reducing spending and foreign non-concessional loans. "This is what we want--that our budget be financed by internal resources by 100 per cent," he said.

The Citizen understands that TRA is working on a project to reach out to businesses that are either informal or moderately informal so they can be formalised and start contributing significantly to government revenues.

TRA is also working on initiatives to simplify the tax payment process using new systems that are interactive and connected to taxpayers--the most notable one being the introduction of Tanzania Customs Integrated System (Tancis). With Tancis, import taxes are paid on time.

Mr Bade, who started his career in 1995 with the Bank of Tanzania, added: "After Tancis, we will introduce a more robust integrated domestic revenue administration system that will be more user-friendly. It is expected to simplify submission of returns. It will change the way taxpayers communicate with TRA and provide timely information on defaulters for intervention."

Through both grants and concessionary loans, donors account for 15 per cent of Tanzania's 2014/15 fiscal budget. The rest is taken care of by domestic revenues--both tax and non-tax--as well as non-concessional loans from both local and foreign sources.

TRA is banking on electronic fiscal devices to rope more of the country's 46 million people into the tax bracket. National identity cards will also help the taxman reach a much wider population for tax collection purposes.

Going by the 2014/2015 budget, TRA is required to collect a total of Sh11.297 trillion to help finance a Sh19.8 trillion revenue and expenditure plan. In the first six months, the taxman garnered about Sh5 trillion in December alone, with TRA collecting a record Sh1.056 trillion.

If the current budget is anything to go by, TRA will be required to collect not less than Sh19 trillion come 2020, a development that the chief tax collector considers attainable if the country's economic growth and growth in tax collection goes according to plan.

He added: "We have to set big targets to transform Tanzania. We know that Tanzania's economy is growing faster than most other countries in the East African Community and we hope to achieve Sh19 trillion by the 2017/2018 financial years."

The TRA's Fourth Five-year Corporate Plan, which spans the 2013/14 and 2017/18 fiscal years, has set a Sh19 trillion target.

In line with ongoing economic growth prospects, the plan envisages that agriculture will grow by five per cent while the manufacturing sector is targeted to expand by 14.5 per cent. Services, transport, communications, finance and real estate sectors will also grow beyond current levels.

Yesterday's exclusive interview with Mr Bade dwelt on issues such as tax collection against targets, tax exemptions, the money that the taxman collected from beneficiaries of the infamous Tegeta Escrow Account, tax collected from mining firms and property tax.

TRA collected a total of Sh353 billion as Corporation Tax from six mining firms between the 2011/2012 and 2013/2014 financial years, according to Mr Bade. He did not name the mining companies, though.

CC: Tized, Mr Rocky, Fixed Point, lyinga, NATA, Chakaza, Elly B, Ablessed, Michelle, KikulachoChako, kill 3, Daudi Mchambuzi, everlenk, MziziMkavu, Ablessed, afrodenzi, Heaven on Earth, Power to the People, Jasusi, Eiyer, idawa, nguruvi, Mentor, Sikonge, Dingswayo, MANI, tpaul, Bramo, Bulesi Bulldog, Sangarara, MTAZAMO, Erythrocyte, Mag3, Mimibaba, zumbemkuu, Crashwise, amkawewe, Idimi, Ogah, Chakaza, mshana jr, JokaKuu, MWALLA, genekai, PRINCE CROWN, Tuko, Shark, lynxeffect22, samaki2011, MoudyBoka, adolay, Elli, nyabhingi, Janjaweed, S.N.Jilala, MEANDU, Tabby, Candid Scope, Honolulu, August, dyuteromaikota, BONGOLALA, Gefu, Bigirita, Kozo Okamoto, Shark, mirisho pm, Camp 05, Ngoami, Kamakabuzi, jerrytz

Kamisha Rished Bade inakuwaje huyu mama mpokea rushwa bado yuko kazini hadi hii leo? Kwanini hutaki kumuwajibisha

KAMA alivyofanya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kukimbilia Mahakama Kuu kuweka pingamizi asihojiwe na Baraza la Sekretarieti na Maadili ya Viongozi wa Umma, ndivyo amefanya Loicy Jeconia Appollo-Naibu Kamishna Upelelezi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA). Anaripoti Deusdedit Kahangwa…(endelea).

Appollo amefika katika Baraza hilo leo na kusomewa mashtaka sita yanayohusiana na ukiukaji wa maadili ya viongozi wa umma, lakini akayakanusha yote na kisha akakataa kuhojiwa zaidi kwa madai kwamba halina mamlaka ya kisheria kuendesha kesi hiyo.

Akiwa mbele ya Baraza hilo lililokutana katika ukumbi namba 2 ulioko Karimjee jijini Dar es Salaam, Appollo alisomewa mashtaka mbalimbali na Mwanasheria wa Sekretarieti hiyo, Mwanaarabu Tale.

❝
Kwa mujibu wa Tale, mnamo 24 Februari 2014, kupiti akaunti yake namba 0012102684801 iliyoko katika Benki ya Mkombozi Tawi la St. Joseph, Appollo alipokea shilingi 80,850,000 kutoka kwa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd.

Kutoka Mwana.Halisi Online
 
Aachane na siasa, let me collect the tax, how the government spends it is not what we know he is concerned about.

Shida kubwa ipo kwenye lavish spending. Kulipa kodi sio ishu sana ila tunakereka na matumizi yasiyo endelevu ya kodi zetu. Tukiwaambia wanunue magari ya be rahisi hawataki. Tukiwaambia wanunua fenicha za Keko hawataki, wanataka za China.
 
With ccm Government, all of these are dreams and actually nightmares to taxpayers who at the end shall bare all the burden of recovering the debts, financing budgetary gapes and sustaining the not to end lavish Government expenditures.

Juu ya watuhumiwa wa escrow, hakuna kitu kitafanyika. Actually, ningependekeza mashauri yote ya wizi huu na mwingine mwingi yawekwe kando kwa sasa. Tukazanie unadikishaji wa wapiga kura na uchaguzi, ili yashughulikiwe baada ya uchaguzi. Vinginevyo, tunazidi kupoteza muda na raslimali za taifa. Hakuna kitu ndugu zangu.

La nyongeza, watanzania tuungane kwa pamoja kuikataa katiba ya chenge iliyojaa mianya ya mwendelezo wa haya tuyaonayo na kuyalalamikia leo. Tukatae ubanyanyi wa serikali ya ccm kutaka kulazimisha zoezi la katiba mpya huku tayari taratibu zimeshakiukwa na hakuna uwezekano wa kufanya yanayotakiwa ndani ya muda zaidi ya kuburuzwa kama ilivyokuwa BMK.

Wanasheria wa Tanganyika law society, nendeni mahakamani mkatetee taifa. Mungu atawalipa na taifa litawakumbuka kuliko kukaa kimya wakti suala zima liko chini ya uwezo wenu na huku Watanzania yatima na maskini wamejikunyata wakisubiri msaada wenu.

Huu niwakati wa kuchukua hatua thabiti zaidi ya maneno ya mezani.

Tanzania bila kuiondoa serikali ya ccm ni majanga ya mauti.
 
Aachane na siasa, let me collect the tax, how the government spends it is not what we know he is concerned about.

Amezungumza vizuri,ishu tu ni uhalisia wa utekelezaji wa hicho wanachotaka kutuaminisha kuwa kitafanikiwa in five years.... kwenye informal au semi-formalized sector wana uwezo wa kukusanya mapato zaidi...ukisoma report ya tafiti nyingi zinaonyesha bado biashara nyingi ni informal na TRA haijui hata zina exist na ziko wapi....ila linapokuja suala la kuwa formal, mtu mwenye biashara yake akipima anaona bado bora tu afanye biashara zake kinyemela tu akwepe kodi au kuhonga maisha yaende,wafanyabiashara wadogo na baadhi ya wa kati wanateseka sana na kodi na legal obligations nyingine kutoka kwa regulatory bodies tofauti tofauti hapa Tanzania. process za kusajili kuwa formal bado ni sumbufu na zinazochukua muda mrefu...warekebishe kwanza....na mwisho wajipange kujua kwanza hizi biashara zilipo na wawe na ushawishi wa kuwapa wafanyabiashara wawe formal na kwenye hili lazima pia washirikishe financial institutions na non financial services providers ambazo kwa kuwa formalized hawa wafanyabiashara watafaidika nazo....otherwise watasubiri sana.
 
Shida kubwa ipo kwenye lavish spending. Kulipa kodi sio ishu sana ila tunakereka na matumizi yasiyo endelevu ya kodi zetu. Tukiwaambia wanunue magari ya be rahisi hawataki. Tukiwaambia wanunua fenicha za Keko hawataki, wanataka za China.

ndio maana tunayapiga chini mkuu.
 
Amezungumza vizuri,ishu tu ni uhalisia wa utekelezaji wa hicho wanachotaka kutuaminisha kuwa kitafanikiwa in five years.... kwenye informal au semi-formalized sector wana uwezo wa kukusanya mapato zaidi...ukisoma report ya tafiti nyingi zinaonyesha bado biashara nyingi ni informal na TRA haijui hata zina exist na ziko wapi....ila linapokuja suala la kuwa formal, mtu mwenye biashara yake akipima anaona bado bora tu afanye biashara zake kinyemela tu akwepe kodi au kuhonga maisha yaende,wafanyabiashara wadogo na baadhi ya wa kati wanateseka sana na kodi na legal obligations nyingine kutoka kwa regulatory bodies tofauti tofauti hapa Tanzania. process za kusajili kuwa formal bado ni sumbufu na zinazochukua muda mrefu...warekebishe kwanza....na mwisho wajipange kujua kwanza hizi biashara zilipo na wawe na ushawishi wa kuwapa wafanyabiashara wawe formal na kwenye hili lazima pia washirikishe financial institutions na non financial services providers ambazo kwa kuwa formalized hawa wafanyabiashara watafaidika nazo....otherwise watasubiri sana.

Hizi discussion nyingine ni kupoteza muda tu, hata haya unayosema hapa ni sababu ya kuyapiga chini ma ccm, tuelekeze nguvu zetu kwenye kazi hiyo tuuu

we can't fight multiple wars.
 
Hizi discussion nyingine ni kupoteza muda tu, hata haya unayosema hapa ni sababu ya kuyapiga chini ma ccm, tuelekeze nguvu zetu kwenye kazi hiyo tuuu

we can't fight multiple wars.

I agree we can not fight multiple wars.... hadi watanzania watakapoamua hilo, hatuna budi kujifunza kwa viongozi wengine wazuri ambao wameweza kuboresha mazingira ya kufanyia biashara,kuvutia uwekezaji wa ndani na mambo mengine. Kagame ameweza,tupate kiongozi mzuri,mwenye uwezo wa kuchagua wasaidizi wazuri kuliko yeye na anayekubali kushauriwa na wataalamu tutasogea....Rushwa hii itaendelea kuinyima nchi mapato....kuna mapungufu ya ndani ya TRA na yaliyo nje ya TRA ambayo lazima yafanyiwe kazi kwa nguvu kubwa sana hasa kwa kuondoa gaps za kisheria na kimazingira ambazo watu wanazitumia kwa maslahi yao binafsi.
 
I can assure you, bade can take care of this.
 
Ni nani ana separate figures za mategeo ya ukusanyaji kodi kutoka sekta ya gas pekee, nakumbuka figure kama hii aliyotoa rished.
 
Kwanini hutaki jimbo Michelle? Bado msimamo wako ni ule ule kwamba hutaki jimbo hata 2015?

I agree we can not fight multiple wars.... hadi watanzania watakapoamua hilo, hatuna budi kujifunza kwa viongozi wengine wazuri ambao wameweza kuboresha mazingira ya kufanyia biashara,kuvutia uwekezaji wa ndani na mambo mengine. Kagame ameweza,tupate kiongozi mzuri,mwenye uwezo wa kuchagua wasaidizi wazuri kuliko yeye na anayekubali kushauriwa na wataalamu tutasogea....Rushwa hii itaendelea kuinyima nchi mapato....kuna mapungufu ya ndani ya TRA na yaliyo nje ya TRA ambayo lazima yafanyiwe kazi kwa nguvu kubwa sana hasa kwa kuondoa gaps za kisheria na kimazingira ambazo watu wanazitumia kwa maslahi yao binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikatai kulipa hiyo kodi ila wakitaka maendeleo ya kweli waanzie huko juu kurekebishana, misamaha hiyo ya kodi wanayoitoa ni rasimali tosha kuliko kuwabana wauza nyanya kko, fedha za Escrow na mabilion ya uswis yakirudi yataongeza pato la taifa kwa asilimia Fulani,
 
Au anaashiria kuwa CCM haitakuwepo madarakani baada ya Oktoba mwaka huu?
 
Ni kweli kabisa everlenk misamaha ya kodi kwa mwaka imefikia 1.8 Trillioni na wanaofaidika ni Mawaziri na Wabunge na pia awawajibishe wapokea rushwa ndani ya TRA ambao sasa wamekuwa ni wengi mno. Yule mama kapokea rushwsa ya 80 million lakini cha kushangaza hadi hii leo bado yuko kazini! Huyu mwizi na mpokea rushwa ilibidi afukuzwe kazi miezi mingi iliyopita.

Mimi sikatai kulipa hiyo kodi ila wakitaka maendeleo ya kweli waanzie huko juu kurekebishana, misamaha hiyo ya kodi wanayoitoa ni rasimali tosha kuliko kuwabana wauza nyanya kko, fedha za Escrow na mabilion ya uswis yakirudi yataongeza pato la taifa kwa asilimia Fulani,
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye rangi nakubaliana nawe maana siku hizi unaweza hata kupoteza uhai wako na watu kukuzushia mambo chungu nzima. Angalia yule Lwakatare jinsi magaidi walivyotaka kumbambikia kesi mbaya sana ya kifungo cha maisha. Angalia hili la Dr Slaa kutaka kupewa sumu, ila uwezo mkubwa uliokuwa nao na uelewa hili la kufanya tafiti, kuchambua,kupanga mikakati na kushauri kuna wengi wanaoweza kulifanya.

ha ha ha ha haaaaaa, siasa za nchi hii zina wanaoziweza, nitabaki kufanya tafiti, kuchambua,kupanga mikakati na kushauri.
 
Serikali yetu wangejiunga na kina Volvo, wapewe tu vigari vidogo vya volvo. Dodoma wawawekee uwanja wa ndege
 
BADE.jpg

By Samuel Kamndaya,The Citizen Reporter

Posted Wednesday, March 18 2015 at 08:35

In Summary

  • TRA boss wants you, the taxpayer, to fully fund the national budget in next five years–but only on condition that the government plays its part too.
  • Taxman says the Budget can be financed through internal revenue if the government plays its part too and reduces lavish spending, which has dominated financial discussions in the nation in the past decade

Wakisema wapinzani inakuwa dhambi!
Taxman asipokuwa makini hata October 2015 anaweza asifikishe.Je ni Mawaziri wangapi mpaka dakika hii wanakaa Mahotelini kwa kukosa Nyumba za Serikali.

Je Mwaka huu tu Mashangingi mangapi yametoka Japan,kwa pesa za Mlipa kodi huku Hospitali hakuna hata Panadol.
 
Hapo kwenye rangi nakubaliana nawe maana siku hizi unaweza hata kupoteza uhai wako na watu kukuzushia mambo chungu nzima. Angalia yule Lwakatare jinsi magaidi walivyotaka kumbambikia kesi mbaya sana ya kifungo cha maisha. Angalia hili la Dr Slaa kutaka kupewa sumu, ila uwezo mkubwa uliokuwa nao na uelewa hili la kufanya tafiti, kuchambua,kupanga mikakati na kushauri kuna wengi wanaoweza kulifanya.

Wakati mwingine huangalii tu uwezo wako binafsi BAK,unaangalia na ule wa yale ambayo unaweza kuyafanya kwa mamlaka unayoitaka na unayoweza kuwa nayo na unaangalia uliodhani wangefanya yasiyowezekana wamefanya nini kwa miaka mitano-kumi waliyopewa wajibu unaotaka kuwa nao....inakatisha tamaa sio kwangu tu hata wengine wengi.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom