What to do when you are bored at work? (Do these)

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Do the following:
1. Kill few Flies
2. Put them in the sun to dry for one hour.
3. Once they are dry, pick a pencil and paper... Let
your imagination flow...

Here are few examples...

i1655_9.jpg


i1654_8.jpg


i1653_7.jpg


i1652_6.jpg


i1651_5.jpg


i1650_4.jpg


i1649_3.jpg


i1648_2.jpg


i1647_1.jpg


 
Pape nahisi leo nilikuona mahali umekaa n hizo picha zako

ulikuwa unasubiri matibabu pale au???
 
Ukatili dhidi ya viumbe hai na adimu hususan msimu huu wa maembe.lakini imetulia hiyo!!thx mkuu.
 
Duh!!..........Ndugu yangu wewe ni boara kweli kweli. Nimevua kofia
 
Jamaa ananikumbusha enzi za msanii Philip Ndunguru alipoingia na katuni zake za akina kipepe,Sokomoko, Lodilofa na wengineo!!! bonge la ubunifu!!
 
Thanks Pape for this, changed image type from .bmp to .jpg to make them load fast on forums.

Maxence
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom