What they will see in Muhimbili - Doctors from India, China and Cuba

Mkuu naona ulikuwa India na Cuba mwaka 1970 na kitu hivi kama siyo 1980 na kitu Maximum.

Kama Tanzania imebadilika, basi Cuba wapo juu mno. India na yeye si yule wa zamani maana sasa hivi wanakuja juu kwa speed ya ajabu na kumbuka katika top ten matajiri duniani, kuna Wahindi mtu na kaka yake wote wakiwa na Vibilioni kadhaa kwenye investement zao.

Achana na hizo propaganda za kizamani. Hivi unajua hii gari kwa sasa ni mali ya India?

jaguar_car_1.jpg

Yep yep, ni JAGUAR hilo. Hiyo na Landrover sasa zipo chini ya TATA INDIA.

Labda kama wataleta ma Medical Assistant (MA) au Rural Medical Assistant (RMA). Na hao wakija ndiyo wafanye upasuaji na kuunga mifupa? Teeteteee, heri niende Loliondo kupata kikombe kimoja.
Madaktari wa nchi hizo wamezoea kufanya kazi katika mazingira magumu kuliko hayo ya muhimbili India na cuba wakifika hapo muhimbili watashangaa palivyo pazuri kufanya kazi.Kama unabisha nenda india hospitali za serikali za majimbo za India na Cuba ukaone.Wakija hapa wataomba hata uraia kabisa na kuomba wapewe ajira za kudumu hapo muhimbili.

China ajira ni adimu hivyo daktatari akija hatajali mazingira.Usifikiri wakifika watashangaa ila watafurahi.
 
Cuba sijafika ila najua ni nchi amabyo imepiga hatua sana katika sekta ya afya na watu wake wana afya hata zaidi ya watu wanaotokea kwenye haya mataifa makubwa kama USA life expectancy ya cuba ni abt 80years.. hivyo wako juu bongo tupo kwenye 52years on average sasa u can just imagine..
 
Hakuna kiongozi mwenye dhamira ya dhati ya kuboresha maisha kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom