What South Africa have done to impound our aircraft is economic sabotage and the move is cynical

This is just RUBBISH! I am so sorry to say so.

On Friday, South Africa impounded a plane belonging to Tanzania's national carrier over a so called the Namibian born farmer's $33-million compensation claim.

The aircraft was seized at Johannesburg's O Tambo International Airport after it landed during a scheduled flight from Tanzanian economic capital Dar-es Salaam.

Lawyer Roger Wakefield of Werksmans Attorneys said the seizure followed an order granted by the High Court in Johannesburg on Wednesday.

Farm owner, who the lawyer refused to name, was awarded $33 million in compensation in the 1990s -- but the government only paid $20 million.

So, that left an outstanding balance of $16 million which has accrued interest over the decades and now stands at $33 million.

The farmer's lawyer, the plane was seized "to certify a long outstanding debt to the plaintiff which the government of Tanzania has always acknowledged was owing but they just breached their undertaking".

There are some unanswered questions which need to be clarified:

First, has the law firm made any attempts to contact ATCL via our embassy in Pretoria regarding the outstanding debts?

If so, when the attempts were made and when was the last communications between the parties dealing with the issue.

Secondly, was the seizure of aircraft necessary at this point considering it hampers the business of ATCL going about with all scheduled flights between Dar and Johannesburg?

This action also paints bad image and reputation to the carrier and the country in general considering the number of tourists who would have connected the flight from OT Airport and the efforts already been made to revive the national carrier

Impounding the aircraft only brought the chaos and inconveniences for the passengers who were forced to change their flight dates and hours.

After all the aircraft cost $90million which has the third of the outstanding amount disputed with its interests which now stands at $33million.

Why not finding other ways to resolve the matter considering the current administration has the capacity to sit down to talk issues?

The government of Tanzania will have the time and space to learn all about these all cases brought against it especially to this current regime.

This is a cynical move which can be seen as contemptuous with the intention of showing the mocking to the Tanzania government and its all state apparatus, which has to be dealt with accordingly.

But also be warned all saboteurs who are out there to try to destabilise the country which in many years thought she was looking after "good apples".
 
View attachment 1190168

Mzungu mwenyewe huyo hapo ukifuatilia historia yake unaona hawa ndio wale wanaofanya kazi ya mabeberu kama sura ya mbele kwenye land grabbing mission, kumbe alishakuwa na mgogoro wa ardhi hadi Kenya.

Ndio huyu miaka ya karibuni wamasai walivamia shamba lake baada ya kupewa heka elfu sita baadae zikageuka helfu 23 kwa ufisadi.

Kwa upande wetu tone ya Dr Abbas leo chances are serikari italipishwa hela tu kama hao wanasheria wanaenda na attitude ya msemaji wa serikari.

Hawa watu washa assess jinsi tulivyo handle sakata la ACCACIA mwisho wa siku ni Barrick tu kutaka kumaliza mzozo ndio suluhisho limekuja hila ACCACIA wangeenda mahakamani kutokana na madai ya report yetu ingekuwa mziki mwingine.

Washaona jinsi kampuni ya Canada ilivyolipwa kirahisi baada ya kuzuia ndege na legal team yetu kushindwa kuitoa ndege kisheria.

Nyuma ya huyo mzungu lazima kuna nchi ya ulaya washatuona how weak we are in legal matters.

Tunaposema change TISS kwenda na kasi ya dunia ya leo sio tu tunajiropokea it’s a weak institution iliyojikita kwenye maswala ya security mainly but not so much in intelligence na sio kwa bahati mbaya bali humo ndani kumejaa vilaza wakati hii michezo ni ya watu wenye akili.

Kaazi kweli kweli
Tukiondoa hisia, akili yako ni hipi katika swala zima?
 
Hapa tunajifunza kutowajibika kwa wakati kwenye kesi za madai malipo ya awali yalishafanyika kwanini kiasi kilicho baki hakikulipwa
 
In every action there is forward and backwards reaction.
TZS itamasimama tena katika hili.
 
Tukiondoa hisia, akili yako ni hipi katika swala zima?
Nimeweka mtazamo wangu kwenye post number 37 based on legal framework.

Amini usiamini that post might look insignificant but that’s the only way they could that plane back.

Ndio maana naamini watalipa tu kwa approach ya serikari.
 
You seem to have forgotten what Canada has done to our bombadier.

Do not mix court orders with the government of SA.
Unajua maana ya dharau? Hao wazungu wametudharau ndo maana wanakamata ndege zetu.

Anadai compensation hiyo ardhi aliipataje hapa Tanzania kama sio ukoloni?
 
Ardhi mali ya serikali na mtumiaji hukodishwa, kwa mashamba zamani ilikuwa unakodishwa kwa miaka 99.

Kama hiyo haitoshi, kilicho juu ya ardhi si mali ya serikali.

Kama hiyo haitoshi, mahakama ilishaamuru ana haki ya kulipwa na akaanza kulipwa.

Kama hiyo haitoshi, tunatumia na kukubali sheria za "commonwealth". Unafahamu maana yake?

Anyway, tuwache wanasheria wetu wapambane huko SA. Nnauhakika tutafikia muafaka wa "win win situation".

Sidhani kama Magufuli au serikali anayoiongoza wanataka kumdhulumu mtu yeyote haki yake na pia sidhani kama wanataka sisi tudhulumiwe haki yetu.
 
No no no no no no nooooh!
Musiba na Mbunge sikubaliani na nyie.
Rais Magufuli na watendaji kazi wake serikalikini wamejitakia haya mambo wenyewe.

Rais Magufuli anajua siri za watu wengi sana katika serikali yake na chama chake kuwa kuna watu wana mbinu za kumwangusha, lakini yeye ameamua kuwanyamazia. Yeye kufanya hivyo anafikiri ni sifa wakati haju kuwa anajitengenezea matatizo yeye mwenyewe.

Askofu Ngwajima alikwisha mwoonya Rais wetu kabla hata hajapata uwenyekiti wa chama chake cha CCM kwamba achukue hatua thabiti kwa watu wanao mzunguka na kupanga njama za kumfanyia mabaya, lakini yeye kwa kiburi chake ana wapuuza watu kama hawa wanao weza kuona mbali. Haya yote ni matatizo ya kujitakia.

Kama Rais anajua na alijua kuwa watu kama Membe, Kinana, Nape na Makamba Senior na Junior ni watu ambao wametenda maovu makubwa sana katika hii nchi na kwenye chama chake, lakini yeye bado akawang'ang'ani na kuwapa madaraka.

Rais Magufuli nina uhakika kuwa anajua na alijua kuwa kuna viongozi na wanachama wengi wa chama chake na serikali yake wana uraia wa nchi tofauti kinyume na sheria ya nchi kama akina Kinana na Membe, lakini yeye analifumbia macho hilo na kuwachekea.

Mtu naive kama huyo watanzania tutategemea nini? Hakuna cha kufanya, kwani maamuzi yote yako kwake. Inasikitisha sana na naona uchungu mkubwa wa kushindwa kumshauri Mzee huyu. Nashindwa elewa kwa nini anakuwa mkaidi namna hiyo? Anafikiri ataenda mbinguni na kutunikiwa thawabu za mbinguni na mungu wake kwa kuwasamehe majambazi hayo?

Nasikitika amewaonea bure wananchi walio kutwa na vyeti fake ambao walikuwa wana ishi kwa amani na kulitumikia Taifa lao kwa moyo wote na kujenga familia zao, lakini wabaya hasa wa nchi na wananchi ana wafuga na kuwa neemesha. Ni dhambi lakini?

Rais Magufuli nakuomba fanya msako wa kuwakamata viongozi na watumishi wote wa serikali yako na wanachama wote wa chama chako wenye uraia pacha kinyume na sheria kama ulivyo fanya kwa watanzania masikini walio kuwa na vyeti fake, kwa kuwafungulia mashtaka na kuwasukuma ndani. Nadhani utaona wahujumu wote watakimbia nchi.

Sisi wazalendo wenzako tumechoka sasa kila wakati kuwa intimidated na watu ambao hawako serious na maisha ya watanzania.

ENOUGH IS ENOUGH!! Wanyang'anye uraia wetu na kuwa fukuzilia mbali .ajambazi hayo. Hayo Rais wangu ni mashetani wakubwa na sio binadam kama wewe na sisi. Hawana nia njema na wewe wala na watanzania wenzako. Wako kwa ajili ya kutuhujumu kann hali na mali.

Nakuomba Rais wangu jaribu kuzingatia hilo pleaseeee!!! Hiyo mijitu itatuumiza na kuturudisha nyuma.

Tafadhali anza mara moja kuwadhibiti hawa watu wanao jiita watanzania walio sababisha ndege yetu kuzuiliwa SA na kutudhalilisha ulimwengu mzima. Nina uhakika wana uraia wa nchi tofauti. Wanyang'anye uraia wa nchi yetu na kutaifisha mali zao zote. Hao sio binadam ni mashetani!
 
Nimeandika hayo maoni yangu kutokana na nilichokiona baada ya kusikia hii ndege imekamatwa.

Hizo ni hujuma kwa nchi, serikali na raisi John Magufuli.

Pia ni hujuma kwa shirika letu la ndege ambapo safari za ndege zake nje ya Tanzania zipo mashakani.

Ujasusi wa kiteknolojia na kiuchumi ndo umeingia Tanzania kwa sasa kila mtanzania awe mlinzi wa nchi yake.
 
Back
Top Bottom