What really matters kwenye ulimwengu wa sasa,"Kupenda au kupendwa"?

ELSA

Member
Oct 10, 2011
10
0
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika maisha??Je wewe kijana anayetafuta mwenzi unataka nini haswa ?
 
Sometimes we love more than we should, or we exaggerate in expressing our feelings. We are we more conscious and why do we think more about the well-being of others and choose to suffer? I've been there so i know how it feels
 
The say"to love is nothing,to be loved is something_to love and be loved is every thing"....
 
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika maisha??Je wewe kijana anayetafuta mwenzi unataka nini haswa ?

i think tunahitaji kupendana as for me i need someone who can understand me thats all
 
Sometimes we love more than we should, or we exaggerate in expressing our feelings. We are we more conscious and why do we think more about the well-being of others and choose to suffer? I've been there so i know how it feels
So, jibu lako ni?
 
kwa kero ya kupendwa bila kupenda ninayoijua, na kwa attitude yangu niliyonayo kwa mwanamke,
ni boratu kupenda kama kupendana imeshiindikana sio kupendwa.
mh.......!
 
kupenda raha bana hasa ukimpenda anaependeka, unafanya kile roho inapenda, tatizo la kupendwa unaweza pendwa na mtu usempenda, basi inakuwa kero, simu za kila dakika,vijizawadi usivyovipenda mmh hapana kwa kweli
 
mmh ndio kusema huwa unapendwa to that extent!!anyway congrats u must be lucky treasure that.
 
IN short which one between the two do you prefer"to love or to be loved"!!
 
Vyote viwili "Kupenda na kupendwa" vina umuhimu sana na ukijaaliwa kuvipata vinakupa raha ya ajabu.

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom