What level of education should a woman have to be aperfect wife?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What level of education should a woman have to be aperfect wife??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Jul 2, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Should a woman be more educated than a man in marriage life or which level is she supposed to have to make her a great wife?
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,790
  Likes Received: 2,452
  Trophy Points: 280
  Mwanamke asome asisome wote dereva wao ni mmoja as far as marriage are concern period.

  Kwa hiyo hakuna elimu husika ili huyu mtu tunayemuita mwanamke anatakiwa kuwa nayo ili awe mke mzuri kama hatafahamu maneno makuu matatu.

  Upendo,uvumilivu na utii!!!
  haya maneno hayahitaji elimu kubwa sana mkuu.

  nawasilisha
   
 3. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Asante sana Chaku,
  Swala zima hapa ni uelewa wa kitu ndoa.Nasiyo vidato ama degree ngapi alizonazo.
  Tatizo kuu lililopo ni jinsi gani inatolewa tafsiri ya elimu hususani tunapomwangalia mke.
  Labda hapa tupeane mawazo kidogo.
   
 4. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  To help you what is good for the goose is good for the gander!
  Hint: what matters is are you also going to be a good hubby? so you don't have to worry what qualities for your wife coz she should be bird of the same feather like you otherwise mhhh! you are looking for a commodity?
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  The simplistic and cryptic manner in which this complex question is posed afford one no opportunity to even attempt a meaningful answer.

  It is almost like the questioner assumed that all men and women are alike, which could not be far from the truth.

  Some men like to be taken care for by women and would not mind a more educated woman, if that means it comes with perks.

  Some men are old fashioned and overly sensitive, and would always want to be the leader in a marriage, as a result cannot accept a more educated woman.

  For some men education is not an issue either way.

  Some men don't even know what they want.

  Different strokes for different folks, so why the prejudicial overgeneralization?
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Dear umewaclisha ipasavyo, binti yangu wa nyumbani alikuwa ni wa std 4 tu akaja kupata mchumba akaolewa, kwasasa ni mama anaeendesha familia yake vizuri sana tena anamsaidia mume wake kwa ushauri wa kutosha, maisha yao yapo safi tu.
   
 7. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,597
  Trophy Points: 280

  Mke ni mke tuuu. elimu haina uzito. Kuna lecturer mmoja yuko chuo fulani hapa nchini yeye na mkewe wote ni wahadhiri, lakini chekishia basi, baba akiongea hivi mama ana mwambia "refer kitabu fulani" usibabaishe. basi tafrani moja kwa moja, tena hadharani. Mwishowe imebidi yule baba ameenda kwako Buk... ameoa binti ambaye hajui hata kuandika jina lake.
   
 8. m

  muhanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  u said it al
   
 9. D

  Dina JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  I think education has nothing to do with marriage life, just like education is necessary for each one of us kuweza kujikwamua na kupambana na maisha around us, likewise in marriage life. Lakini anaweza akawa hajasoma kabisa, still she can make a great wife (if and only if mume akimkubali mke kama alivyo, siyo kuanza kuleta kiswahili kirefu na kumdharau mkewe kuwa hajasoma). Na mwingine aliyesoma akawa a headache in the house, kisa usomi wake! At the end of the day, kila mwanandoa aelewe role yake in the house, hata kama mmoja amesoma sana, basi ajijue nafasi yake ni ipi na expectations za mwenziwe kwake ni zipi...and hence fulfill the role.
   
 10. N

  Ndaga Senior Member

  #10
  Jul 2, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ni mada nzuri,
  Tujue jambo hili, Mke mwema au mme mwema, Mtu hupewa na Mungu haijalishi ana Elimu ya dunia hii kwa kiwango gani au hana! Muhimu ni kumtambua kuwa huyu ndiye mke wangu/mme wangu/mwenza wa kuishi naye.Matendo yake yatashabiana sana na matendo yako na pale ulipo na udhaifu mwenza wako atapabeba na hii ndo main object ya Mungu;kwamba udhaifu wangu basi Mke/Mme wako atakubeba, kwa mfano ukiwa mtu wa hasira basi ujue Mungu atakupa mke Mpole ili mwisho wa siku adesolve hiyo hasira kwa upole wake na muwe kitu kimoja yaani level mwili mmoja katika kupambanua na kufikia mwafaka.
  Hakuna kitu kizuri kama Ndoa itokanayo na Mungu, huwa haizeeki ni mpya kila siku,ina upendo, ina uvumilivu, ina utii unaovutia hata watu wa nje.
  Na kitu kibaya katika yote ambacho kimezaa yamkini mleta mada atakubaliana nami ni kitu kinaitwa kwa kimombo '' Proudness'' yaani kujiinua na kujifanya mmoja wao au Mke/Mme anajua kuliko mwingine hiyo ndo sumu ya Ndoa! Cha msingi kama Mungu amekupa Mwenza basi ujue hata kama hajasoma kwa Elimu unayotaka kwa mwonekano wako wewe basi kuna jambo nawe huna ufahamu nalo wewe ndo maana Mungu kakupa huyo Mke/ Mme ili kusawazisha mapungufu yako.
  Elimu au Kazi au utajiri au umasikini we taja chochote unachokijua haviwezi kubeba nafasi ya Mke/Mwema maana vyote hivyo vimeshafanyiwa utafiti na vimeshindwa kabisa na ndoa zikasambaratika na taraka lukuki.Kinacholeta ndoa imara ni wewe mwenyewe kujua kuwa yuko Mungu awezaye kunipa Mke/Mme mwenye haiba niisikiayo nafsini mwangu na nitampenda kama nimpendavyo Mungu, nitamtii kama nimtiivyo Mungu,nitamvumilia kama ninavyovumilia kumgonjea Messiah! na kwa jinsi hiyo utampata hata kama ni Prof au Dr. au Master nawe ni msukuma mkokoteni kutakuwa na UPENDO wa dhati kumjali mwenzake kwa nafasi yake na Watu watawatambua kwa Matendo yenu.
  Ref.Bible,Mithali 19;14,Efeso 5;28,33.
  JF ninawaombea, mnaugusa sana Moyo wangu kwa fikra pevu na michango yenu ya Kimaadili na nadhani tutafika na ipo siku tutafika tufurahie matunda ya Nchi yetu.Zaidi nyote nawasihi ambao hamjaokoka basi OKOKENI wakati ndo huu.
  Jone, Ndikupasya Buno Malafyale anganie kangi ambokie.
  Ndaga.
   
 11. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kisoda2, mke na elimu vinakujeje? kwani unaoa ili iweje? Kama unaoa kwa ajili ya mambo yetu yaleeeee (Love & sex), then nafikiri jibu liko straight forward kwamba mke na elimu havina mahusiano yoyote.

  Whether una do na prof ama binti asiyewahi jua hata darasa la kwanza (formal education) yote ni sawa tu mzee!

  kama unataka kuoa, tafuta binti atakaye kurusha roho, na si kuangalia amefika kiwango gani cha elimu.

  Kigezo cha elimu hakina maana mzee, kwenye mapenzi hakuna hesabu za intergration wala permutation!!
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wale walio wengi wasio na elimu kabisa huwa wake wazuri . Kuwa perfect inategemea wewe umeweka criteria zipi. After all non of us is perfect.

  Kama wataka mke mzuri wewe tinga kijiji angalia angau wa std 7 tu basi.Huyo atakufurahisha mradi tu usiwe ni yule wa yes , no .
   
 13. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wake wasomi ndo hawa wanaosoma IFM, CBE na UDSM!! Mmmh kweli wanaume tuna kazi!!
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mwanamke akisoma sana NI BIG TROUBLE!
   
 15. M

  Mopao Joseph Member

  #15
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni maelewano ya wawili and not otherwise!!!!
   
 16. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nimekubali Ndaga.
  Kikubwa hapa ni elimu ya maisha siyo ya vitabuni na kujaza vyeti ukutani.
  Sasa kwanini asilimia kubwa wanawake wanaonekana wamesoma sana kupata waume imekuwa shida?Hasa kwa sisi Waafrica.
  Tatizo liko wapi?
   
 17. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,790
  Likes Received: 2,452
  Trophy Points: 280

  kwa kuwa wanawake waliosoma wanakosa nguzo za ndoa/marriage.

  yaani

  Upendo,uvumilivu na utii.

  kila kukicha watakuwa wanagombania haki sawa utakuta hata kufagia na kudek mnapeana zamu achilia mbali kwenye mambo ya kamchezo kandani.
  uatasikia anakwambia niaassignment au mara nimechoka mara oooo nk

  nani anataka hiyo karaha karne hii
   
 18. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Usemalo laweza kuwa na ukweli ndani yake,but tell us niaje hapo mwanamke akiwa kasoma anakua big trouble.


  ________________________________
  "Utamu wa Pipi Mate yako!"
   
 19. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,790
  Likes Received: 2,452
  Trophy Points: 280
  too much argument unneccesary hata kwenye mambo ya tendo la ndo anargue to.why?
   
Loading...