What Killed Arafat? Swiss scientists say he was Poisined (Polonium) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What Killed Arafat? Swiss scientists say he was Poisined (Polonium)

Discussion in 'International Forum' started by Gavana, Jul 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  That the Fact.
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,999
  Likes Received: 37,703
  Trophy Points: 280
  Wanasayansi nchini Uswiss wamebaini uwezekano wa aliekuwa kiongozi wa Palestina marehemu Yasser Arafat kuwa aliuwawa kwa makusudi kwa kuwekea madini hatari ya Polonium.Wanasayansi hao wamethibitisha uwepo wa madini hayo baada ya kuyakuta ktk nguo za marehemu na hali kadhalika ktk vitu vyake kama mswaki n.k.
  Mke wa marehemu kwa sasa anataka mwili wake ufukuliwe kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
  Source:Aljazeera TV.
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Tutadai na sisi ufukuriwe wa hayati Mwalimu Nyerere
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mkuu una uhakika Palestina iliwahi kuongozwa na mtu mwenye jina hilo?
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hebu rekebisha yafuatayo. Hiyo sumu siyo plotonimu ni POLONIUM na jina lake ni FIELD MARSHALL YASSER ARAFAT  Was Yasser Arafat poisoned with Polonium? Lab tests find 'unexplained, elevated' traces of radioactive substance on leader's clothes


  • Polonium traces 20 times the dose needed to kill a human are found on Palestinian leader's underwear
  • Arafat died in Paris hospital in 2004 from mystery illness
  • Widow says his body should now be exhumed to investigate test results
  • Same radioactive substance also killed Russian dissident Alexander Litvinenko in 2006

  The late Palestinian leader Yasser Arafat may have been assassinated with a lethal dose of the radioactive substance polonium, scientists have claimed.
  Arafat died in 2004 from a mystery illness, amid theories that he was killed at the hands of Israeli spy agency Mossad.
  But a new investigation is set to reveal that a urine stain on Arafat's underwear had traces of Polonium-210, the highly radioactive substance which killed Russian dissident Alexander Litvinenko six years ago.
  The 75-year-old's widow, Suha Arafat, has called for her late husband's body to be exhumed after the Al Jazeera investigation found the polonium traces on clothes he wore in his final days.
  Previous theories had speculated that Arafat, who died in a Paris hospital in November 2004, had contracted cancer, cirrhosis, or even HIV.
  But tests carried out by the Institute de Radiophysique in Lausanne, Switzerland, showed that Arafat's underwear registered a level of 180 millibecquerels of Polonium-210, more than 20 times the dose to kill an average human being.
  Dr Francois Bochod, the director of the institute, confirmed to Al Jazeera that there had been an 'unexplained, elevated amoun

  [​IMG]

  Investigation: Arafat's widow Suha Arafat, pictured here alongside then Palestinian Minister of Foreign Affairs, Nabil Shaath (left) and then French Prime Minister Jean Pierre Raffarin, says her husband's body should be exhumed following the lab results

  Read more: Was Yasser Arafat poisoned with polonium? Lab tests find 'unexplained, elevated' traces of radioactive substance on leader's clothes | Mail Online
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Lakini alizeeka mmmmh labda watu maarufu hawafi kwa magonjwa wa kawaida
   
 8. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila mama bado yuko vizuri kabisa,,,! dah!
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni Yasser Arafat AKA Abu Ammar, huyu jamaa waisraeli walimdhibiti kwenye kona pale Ramalah, wakamkatia hadi umeme na maji, halafu wakamkatia na suplly za chakula, maji ya chupa ambayo alikuwa akipelekewa na watu wake, na medicine, baadaye wakamfungulia maji ya bomba, maji yenyewe ya bomba yanatoka ama kupita eneo la Israel wanapoishi, nadhani alilazimika kuyanywa, ama hata kunawia, waliichoronga compund yake na mavifaru, wakambakizia chumba kimoja tu, hata choo na bafu vilivunjika, aliishi pale kwa shida sana, ila alibakia na bastola yake pembeni akasema atapambana hadi tone la mwisho la damu, siwezi sahau hii kitu, ni Ariel Sharon mnyama sana.Baada ya kuanza kudhoofu kwa kasi akiwa pale, ghafla waisraeli wakamkubalia mke wake aliyekuwa ufaransa waje wamchukue wakmampatie matibabu, ndo ilikuwa safari yake ya mwisho.
   
 10. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona CCM hawajaipata sumu hii la sivyo wasingelazimika kuwajeruhi "wabaya" wao kwa mapanga, vipigo, utekaji nyara na risasi kama inavyofanya mchana kweupee bila hata haya. DEATH TO CCM and it's cohorts!
   
 11. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Halafu mwili wake ukifukuliwa ndo atafufuka? Huko ni kumtesa marehemu. Anayejua kulipiza kisasi ni Yule Muumba.
   
 12. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  nilishawahi kusema hii kitu kwenye one of my posts in the past..., its true alikua exposed to an acute radioactive poison,

  Meir Dagan aliona kwamba ilikua ngumu sana ku-negotiate na arafat, yani alikua kigeugeu, they needed somebody new, they cordoned him and exposed him to a small radiations periodically, when his condition became terminal, they allowed him to get treatment in france, they knew for sure he would go back to palestine in a coffin
   
 13. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kwa wenzetu kupata ukweli wa jambo ni value inayojitosheleza; siyo lazima afufuke au kuwepo nia ya kulipiza kisasi. Lengo ni kujua kitu gani kwa hakika kilimuua. Hilo tu ni value.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yasser Arafat sio "Yassin".
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu alikufa kwa AIDS.

  Ni ukweli ambao huwa hausemwi sana.

  Naona sasa wanataka kutoka kivingine maana Polonium imekuwa fashion.
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna Video nilishaona ya mwaka 60 mwishoni na walionyesha kabisa Yassir Arafat akiwa anatembea nje huko Lebanon baada ya mashambulizi makali ya Izrael. Walianza kupigiana simu/Radio call wamuuwe au lah. Mwisho wakaamua kumuacha hai.

  Tatizo kubwa walilokuwa nao Izrael ni kuwa waliona heri wawe na Arafat kama Rais maana alikuwa akiwazuia hawa Radicals wasifanye mashambulizi Izrael. Better the Devil you know.... ndiyo ulikuwa msemo wao.

  Sidhani kama walitaka kumuua huyu jamaa na hasa ukichukulia alishazeeka na kuwa mtu wa GOOD TIME sana na hasa huyo Mke wake. Kwao ilikuwa heri ya kuwa na ARAFAT hai kuliko Merehemu. Ndiyo maana walikuwa wakipiga ila wanamuacha hai.
   
 17. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  I know that mkuu, ndio maana nilikuwa najiuliza kwa sauti, kwa sababu hata wakijua will it change the direction? Ilishajulikana madini hayo yanaua, na wala hawatamjua aliyetumia silaha hiyo kwa kwenda mbali zaidi, kwa kuwa Yassir alikuwa mpambanaji mashuhuri aliyejulikana kimataifa, hivyo ni kuelewa tu kwamba aliuawa kwa silaha hii. Mbona Patric Lumumba mpaka leo hajulikani kaikwa wapi pamoja na vimanenoneno kwamba alitumbukizwa kwenye acids akayeyuka kabisa na wengine kila wanachopenda kusema. Kujua huko kunawaumiza zaidi ndugu zake na kuvuta nguvu ya visasi. Hukumbuki yanayodaiwa kwamba hata Mzee Karume muuwaji wake alikuwa analipiza kisasi kwa kuuliwa kwa babake? Au kule Iringa yule Kleruu kuuwawa na mnyalukolo kwa sababu ya visasi hivyohivyo? Tuna kheri waafrika wa vijijini tunaomalizia kwa kusema, "Swela bwana" ikaishia hivyohivyo.
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Kwajinsi walivyomtreat, waliogopa tu lawama wakimwua waziwazi, kwasababu walimdhoofisha wakijuwa wanachofanya, na haya mambo ya sumu tena ndo basi.Mkuu nilikuwa naifuatilia hii issue sana kipindi kile.Baada ya Ariel Sharon kwenda Washington kuonana na Bush, walikubaliana kwamba Yasser Arafat si wa kukaa naye meza moja tena.Bush alijaribu kufanya kinyume na Clinton ambaye aliamini Abu Ammar ni muhimu sana kwenye mazungumzo ya amani.(kama unakumbuka tukio la Camp David ambapo aliwashikanisha mikono na yule Yitzak Rabin kama sikosei)Ambaye waisraeli wenye msimamo mkali walimwua.

  Ariel Sharon na Bush mkuu ni wanyama... hawawezi kumkataa Abu Ammar, at the same time ukadai walitaka aishi. Siyo kweli kwasababu kipindi kile hakukuwa na uwezekano wa peace resulotion bila kupitia kwake, so uhai wake haukuwa una manufaa kwa Israel kwasababu hawakumtaka mezani kufanya naye mazungumzo, hata Bush akimbrand kuwa ni terrorist, na alikuwa hata hamtaji kwa heshima pale anapomzungumzia.Hakutaka kukutana naye na alisitisha misaada kuelekea Palestine...Alikuwa akimwita "Mwenyekiti wa territories". Na kusema kuwa yeye na Sharon hawamtaki tena kwenye mazungumzo, na ndipo mwanzo wa Hamas kuchuwa madaraka makubwa...Ndo ukweli huo.
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Let him RIP in his comma. he was so cruel!
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  JMushi1,

  Sijui ulikuwa ukifuatilia News zipi. Ila huko USA, huwa mnabaniwa sana News. Ndiyo maana mie husoma news za nchi tofauti na hapo unapata ukweli wa upande wa pili.

  Izrael walikuwa siku zote wakiogopa HAMASI wataingia madarakani muda wowote. Hamasi walikuwa wakimuheshimu sana Arafat na kwa sababu wote walikuwa wakipata misaada kutoka Lebanon na hata Arafat alishakaa sana Lebanon, alikuwa ni mtu pekee wanayemfahamu kwa ukaribu.

  Hamasi walikuwa wakisubiri tu Arafat afe na wao waje wachukue nchi. Hawa jamaa hata uchaguzi walishinda ila UN wakachakachua matokeo. Mtu pekee alifanya Hamasi wasiamke wakati huo alikuwa ni ARAFAT. Kifo cha Arafat kiliwapa Green light Hamasi na washirika wao na moto ukaanza. Hawa jamaa huwa wanasumbua sana na wana kichwa kigumu kama Hesbollah.

  Kumdhalilisha kote Arafat ilikuwa ni kumuonyesha Ubabe na kuwa wanaweza. Kifo chake kingelifanya jamaa apande chat ila kuishi kwake huku akiwa HOI, kulimfanya apoteze sana nguvu. Ila jamaa hawakujua kuwa Hamasi ndiyo walianza kujijenga kwa nguvu kipindi cha baadaye,
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...