What is your second income?


D

Damalu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Messages
305
Likes
43
Points
45
D

Damalu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2009
305 43 45
NAOTA TU...
#Unalipwa 600,000 Ukatwe kodi ya PAYE 18% ya
mshahara
600,000-108000= 492000

Ukatwe 18% mkopo wa boom
ulioupata chuo
492000-108,000=384,000

Kodi ya nyumba
384,000-100,000=284,000

NSSF wakate hapo
284,000-80,000=204,000

Bili ya umeme
204,000-20,000= 184,000

Dala dala kwenda kazini kurudi
home
800*30=24,000
184,000-24,000=160,000

Bili ya maji =10,000
160,000-10,000=150,000

Chakula mchana uwapo kazini
2000*30=60,000.
150,000-60,000= 90,000
Chakula cha usiku
2000*30=60,000
90,000-60,000=30,000
Chai 1000*30= 30,000
30,000-30,000=0

Hapo vocha ya 500*30=15,000
0-15,000= -15,000

Ulijisahau ukanywa soda
kwenye pita pita zako 600 -15,000-600=-15,600

Usivae
Ukivaa unakuza deni lako
Na hapo ni hesabu za mshahara
wa kima cha chini
kikiwa 600,000 Huna mke wala mtoto wala
tegemezi ya aina
yoyote
Kwa sasa mshahara kima cha
chini hakija fika
315,000 hali ikoje kama unategemea tu ajira??


#tafakari chukua hatua Usifanye makosa jitume kwa kutafuta vyanzo vingine vya mapato

Mafanikio yako mikononi mwako unahitaji tu kuanza hatua. Inawezekana unawaza biashara gani uanzishe ili uweze kupata faida!

Karibu tujulishane fursa mbali mbali za biashara na tupeane mbinu mbali mbali za kujiongezea kipato wasiliana
0758768855, 0716768855, 0692134045
 
Isikarioti

Isikarioti

Member
Joined
Jan 18, 2016
Messages
9
Likes
2
Points
5
Age
48
Isikarioti

Isikarioti

Member
Joined Jan 18, 2016
9 2 5
Mkuu umechambua kweli tupu, hapo hakuna namna Lazima utadaiwa Tu.
Mi wakati nimeajiriwa na kampuni Fulani tunalipwa 700000 kwa mwezi, wakati huo naishi Mbagala kazi Kawe hivyo nauli natumia 1400 kila siku, Vocha, kodi ya Nyumba, makato nssf, maji, chai asubui 1000 mchana 2500 chakula Maji 700 =4200 hapo ni kazini Tu nyumbani nimeacha kodi ya meza 10000 wakati mwingine 5000. Mam watoto nae anataka vocha wstoto wanataka pesa ya shule. Bado wazazi kijijini, jamani, mwisho wa siku nilikumdai Tu, kila MTU namkopa.

Baadaye niliona ujinga kutegemea ajira nikaona nijiajiri mwenyewe, mpaka sasa nimepiga hatua kubwa.

Vijana wenzagu tujenge mazingira ya kujiajiri wrnyewe, tuache kutegemea ajiri pekee, zinduka acha kubweteka na kiyoyozi wakati una madeni ya kutosha.
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,330
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,330 280
ndo maana nasemaga watanzania wote ni wezi
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,330
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,330 280
hapo wewe laki 7 kuna wengine wanalipwa 80 na wapo hapa town na maisha yanasonga alaaaaaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,214,405
Members 462,704
Posts 28,511,052