What is your favorite food?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Pilau
pilau.jpg
 
Hii hapana kabisa! Ukiishindilia mchana utapata usingizi mzito baada muda mfupi. Kitu favorite hapo ni Jumanecha kwa nyama.
Unaweza kuacha ugali ila mi naona kuna umuhimu wa mboga za majani,unafaham mnafu(mchachu) halafu na mchicha.
 
Unaweza kuacha ugali ila mi naona kuna umuhimu wa mboga za majani,unafaham mnafu(mchachu) halafu na mchicha.

Off cause umuhimu wa mboga za majani katika mwili hauna mjadala, tatizo hapo ni kachumbari! kama unahitaji kulala mchana huna haja ya kufakamia pillton,just kula kachumbari ya kutosha utapata majibu.Mie ni mpenzi mkubwa wa ugali,naweza kuula mwaka mzima wewe nibadirishie mboga tu tena maziwa mgando baridi glas moja pembeni inakuwa vema zaidi.
 
Back
Top Bottom