What is wrong with this picture? Mkataba wa kusambaza umeme... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is wrong with this picture? Mkataba wa kusambaza umeme...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 14, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  MCA-Tanzania, Symbion Power LLC and Pike Electric contract signing


  [​IMG]The U.S Ambassador to Tanzania Alfonso Lenhardt (standing third from left ) witnessing the signing of two energy contracts valued at nearly USD 65 million (TShs 97.5 billion) between the Millenium Challenge Account - Tanzania (MCA-Tanzania) and U.S firms Symbion Power LLC and Pike Electric. Together, the two firms will construct or expand approximately 1,600 kilomitres of power distribution lines in Mwanza, Tanga, Dodoma, Mbeya and Iringa regions. The Projects will be carried out under the Millenium Challenge Compact (MCC) worth USD 698 million signed between the governments of the United States of America and the United Republic of Tanzania. The contract signing ceremony was held at the MCA -T Office in Dar es Salaam on September 13, 2003. (From Michuzi Blog)

  Relevant Questions:
  - Why Why Why?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Why this time? Why empty seat?
   
 3. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Well, the timing is irkling. I wish more details were availlable.
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwanini uwe wa kusambaza na sio kuzalisha.......?
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama umeme unaozalishwa sasa hautoshi, kuna haja gani ya kuendelea kusambaza huduma? Umeme wa hao wateja wapya utatoka wapi? The current power demand is 760 MW, current power produced is about 600 MW, demand is projected to reach 1000 MW by the end of 2010. Where is the government? Who is doing all this? So many generators are not in working conditions! Where are we going? Oh no! Poor Tanzanians! Amakweli nchi hii inajengwa na wenye nguvu na kuliwa na wenye meno!
   
 6. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Well, the most obvious wrong thing about the photo is the date! 2003?

  But, Hizi pesa za Bw Bush jamani ziko mbioni kuisha, ni za geresha mno. Sasa hivi mnapozungumza kuna mikataba kibao ya ujenzi wa mabarabara, drainage systems na related urban infrastructure ndani ya miradi hii, the key issue is that the projects write ups zilitakiwa ziwe tayari before elections and works at various place should start as early as possible. Waulizeni watendaji kule MCA-T! Barabara ya Tanga- Horohoro ni mojawapo, kuna miradi kule Mwanza, Dodoma, Mtwara, Arusha, Tanga, Kigoma, Mbeya inaitwa Strategic Cities Project (au sijui nimechanganya), basi ni lazima iwe imeanza before elections, I m not against the projects, far from it, but for the motives and particularly the ostensibility in an election period, in other words being used to sway people's opinion towards party in power, meaning faking democracy!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  tatizo langu ni kuwa hiyo MCA haileti fedha Tanzania..

  a. Kwa kupitia akaunti hiyo tunachapisha vitabu vya sayansi vitakavyotungwa na Watanzania lakini vitachapishwa Chuo Kikuu cha North Carolina.. kana kwamba hakuna mchapishaji Tanzania ambaye angeweza kulipwa na akaunti hiyo.

  b. Leo hii kusambaza umeme kazi ambayo imekuwa ikifanywa na Tanesco kwa muda mrefu leo inapewa taasisi ya nje lengo ikiwa ni kurudisha fedha hizo hizo huko huko Marekani? Kwanini MCA isiingie mkataba wa kufanya hivyo na kampuni binafsi ya Tanzania?

  c. Kampuni ya Symbion inahusika hasa na usambazaji wa umeme kwenye maeneo yenye migogoro na hali mbaya ya kisiasa. Sijui kigezo cha wao kuletwa Tanzania ni nini hasa maana wasije kuwa wanalipwa na mambo ya insurance humo humo..
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo haooooo wamekuja sasa! Wanasema wanalipenda taifa la Tanzania!
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Tanesco kazi iliwashinda! Nchi zima 'connectivity to the national grid is about 14%'...What about the other 86%? Are they still using kerosene lamps and candles? I don't even know where we are heading!
   
 10. J

  Jikombe Senior Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa ndo walivyo. Pesa inatakiwa urudi kwao ili kukuza uchumi wao.
  Si umeme tu, kila mradi wanaotolea mkopo wanataka 80%-90% irudi kwao.
  watakupa mshauri (consultancy), mkandarasi wote toka kwao. Angalia miradi yote utakuta timu nzima inatoka pesa ilikotoka.
  Tunahitaji mapinduzi ya fikra kuondokana na hali hii.
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Valid points mkuu... na nimeshapa info from Wikipedia ina harufu kama ya Blackwater or whateva that fisadi security company is called ...

   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hey you...how is that hopey changey working for ya?:becky:
   
 13. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ohhhh! My dear friend.. the hope dopey changey is working fine for me... how about you? How is your ex-Alaska gov doing? Still planning on doing a spectacle of herself and her family on E TV? :smile-big::smile-big: Nasikia in-law wao mtarajiwa who became ex then again mtarajiwa then is now again ex-fiance wa binti Palin anaendelea kumwaga data... hehehe.. the Osmonds have been replaced by the Palins...

  Hey.. alafu on a serious note siyo hawa Symbion ndo walifunga low quality wiring na wanajeshi wa kimarekani walikufa kambini in Iraq or Afghanistan?
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135


  "Symbion takes a unique approach to delivering complex electrical infrastructure power solutions in regions where conflict and instability make them especially difficult. With a strategic partnership with an established security company and a deep commitment to empowering local communities, we bring together the knowledge and operational know-how to succeed in the most challenging construction environments."

  SOUrce:Symbion Power
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye Bold
  Wakati USALAMA wa TAIFA wanatafuta who is Mwanakijiji, Msanii, Masanilo, Ngabu et all, wanaacha milango wazi wa potential threat kwa dubious deals kama hizi kuingizwa ktk memory ya Tanzania.
  Lugha moja niisomayo kwenye mkataba huu ni kwamba Tutadaiwa deni ambalo hatukulitumia kwa faida tulipokopa. Labda tuiseme hizo funds za MCT ni grants with no return to the sender. Kama ni vinginevyo, endeleeni kushabikia kuwa Obama is a first black to rule nchi kubwa duniani
   
 16. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mlifikiri mtachimba hiyo Uranium kirahisi?
   
 17. S

  Sylver Senior Member

  #17
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No pesa za miradi zinaliwa na hiyo jamaa wanajua so msaada wanaotoa kama ni wakusambaza umeme kwa nini utake pesa ? acha wasambaze umeme by the way ni msaada.
  Siku tukithibitisha kupunguza ubadhirifu may be tuta aminiwa kuajiwa.Kama kuna mtu mwenye kampuni hizo za USA anafaidika basi sisi wenyewe na ubadhirifu ndio tumemsaidia kujenga hoja kwa ubadhirifu ,just anakuwa na docomentary ya ubora mdogo wa miradi ya nyuma na concolude kuwa hawa jamaa kama kuwasaidia kufanya kitu fulani tufanye kabisa pesa no zinaliwa provide proof ,makampuni ya kimarekani yanatia team.
   
 18. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #18
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji, si tumekuwa na Tanesco ikiwa na monopoly as a sole producer and distrubutor of power tangu uhuru! tujiulize kwanini inapata ruzuku toka serikalini.
  Kuchapisha vitabu North Carolina ninaweza kuelewa, maana tender ikitolewa kwa wazawa wa serikali hii ten percent zitamaliza mradi na wanafunzi watapelekewa ''substandard phocopies''. Kama tumeshindwa kulinda viwanda vya betri na viberiti hadi tuagize kutoka Afghanistan,pakistan na Nepal nani atatupa pesa zake atumaini mazuri.
  Symbion hata kama watalipwa insurance ili mradi kazi itafanyika kwangu sawa, maana si tumekopa pesa IMF [kwao] kwa ajili ya TRL, iko wapi sasa! wajanja wametafuna 10% nakutuachia deni. Hili si tatizo kweli hata kama hatuna migogoro ya kisiasa.
  Kuanzishwa kwa NGO na international aid organization ni matokeo ya serikali zetu kutumia fedha kununulia samani na kongomano na picha za wagombea badala ya kazi husika. Pengine kuwalipa insurance kuna unafuu kuliko uhalifu wa serikali zetu. Tusione aibu wakitufanyia kila kitu.
  Kama hatutabadilika October, ipo siku balozi wa US atashauri tuchapwe viboko kabla yakuingia kazini. I wish that day could happen!
   
 19. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #19
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  then vote dr. Slaa inn
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa kweli inashangaza sana. Lakini ni lazima na sisi wenyewe tujipekue. Hivi hizo pesa wangepewa akina karamagi au wachafu wenzake aliowaacha pale wizara ya nishati na madini, kazi ingefanyika kwa kiwango na uthamani wa pesa yenyewe?

  Nafikiri serikali ya marekani imeamua kufanya hivyo ikiwa inajua kuwa zikiletwa pesa huku hazitatumika ipasavyo. Wangekabidhiwa ccm tungesikia semina, warsha, safari za nje etc nyingi mno
   
Loading...