What is wrong with African football?

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
-Je ni makocha wa kigeni?
-Je ni kukosa pesa?
-je wachezaji wanafanya makusudi?

Yaani mtu ukiangalia jinsi timu za afrika zinavyofanya world cup unasikia kichefuchefu, leo Nigeria ndio wamenitoa moyo kabisa!!!

Tuna wachezaji wengi wanangara dunia nzima, lakini kwa nini tunashindwa tukicheza nchini kwetu?
Nauliza, what is wrong with us?
 
Yani hata sababu sijui kila nikijiuliza..Naijeria leo imenikata stimu kbs kuhusu uwezekano wa hizi timu zetu kufika mbali WC..
 
-je ni makocha wa kigeni?
-je ni kukosa pesa?
-je wachezaji wanafanya makusudi?

yaani mtu ukiangalia jinsi timu za afrika zinavyofanya world cup unasikia kichefuchefu, leo nigeria ndio wamenitoa moyo kabisa!!!

Tuna wachezaji wengi wanangara dunia nzima, lakini kwa nini tunashindwa tukicheza nchini kwetu?
Nauliza, what is wrong with us?

not only football.....what about economy??with all the resources we're still in poverty.....
 
Nafikiri hakuna team ya Afrika itatatwaa kombe la dunia milele!

Na hili ndilo linalouma zaidi:redfaces:. Wachezaji wetu hawana uzalendo kabisa na sidhani kama uchungu wetu u nawagusa japo kidogo. Eehhh Mungu.....tusaidie:hail::hail::hail::hail:
 
Yani hata sababu sijui kila nikijiuliza..Naijeria leo imenikata stimu kbs kuhusu uwezekano wa hizi timu zetu kufika mbali WC..

Na hata maarifa pia hatuna tizama kosa alilolifanya KAITA ni la kipuuzi sana kiasi limeigharimu timu nzima kukosa muelekeo kama mimi ni Kocha sitompanga tena timu ya Taifa
 
Na hili ndilo linalouma zaidi. Wachezaji wetu hawana uzalendo kabisa na sidhani kama uchungu wetu u nawagusa japo kidogo. Eehhh Mungu.....tusaidie
labda uzalendo uanzie kwako mie nimeona humu uzalendo ni zero...watu wanamshangilia OBAMA kama ndio Rais wao...Na sikuzote Kikwete ni mjinga kwenu... sijaona mnamsifia Raisi wenu hapa... wananchi ndio wanajenga nchi acheni izo nyie....
 
The same thing that is wrong with everything in Africa.

Poor leadership, corruption, incompetence.
 
Makocha wa Kigeni nao wanachangia bana

kaka umenena. Kuna vitu wanabania. Halafu ukiangalia ni kuwa hawa jamaa huwa hawajitumi kukaba kiasi kuwa mchezaji akitokwa hupuuzia akijua mwenzake atakaba. Mfano goli walilofungwa kamerun mda huu ni la kiuzembe
 
labda uzalendo uanzie kwako mie nimeona humu uzalendo ni zero...watu wanamshangilia OBAMA kama ndio Rais wao...Na sikuzote Kikwete ni mjinga kwenu... sijaona mnamsifia Raisi wenu hapa... wananchi ndio wanajenga nchi acheni izo nyie....

hii ni painful truth , dah umenikumbusha mbali sana, nakumbuka siku alitangazwa obama rais, dah wabongo sehem flani tulifanya bonge la party (hela haikutosha ,tulikopa), nikivuta memories zangu siku alioapishwa kikwete kuwa rais nakumbuka kuna wacongo walikuja kutupongeza kwa kupata rais mpya ,baadhi yetu waliwauliza wale wacongo ANAITWA NANI? hatar kubwa!
 
Back
Top Bottom