What is school for? (Shule ni kwa ajili ya nini?)

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Habari ndugu zangu wa JF. I'm Zagarino.

Nimetumia zaidi ya miaka 13 nikiwa shule lakini mpaka leo sijawahi kujua shule ipo kwa ajili gani.

Hii ni jinsi mfumo wa elimu ya Tanzania ulivyo.

Mwalimu: Students, can anyone tell me the definition of a machine?

Student 1: Yes, sir a machine is any device that simplifies work.

Mwalimu: Oooh! You're not correct that's not the right definition

Student 2: I can define it sir worry not machine is any combination of bodies so connected that their relative motions are constraint and by which means force and motion can be transmitted and modified as a screw in its nut or a lever range turns about a fulcrum or a pulley by its pivot.

Mwalimu: You're absolutely right congratulations other students if you wanna score better make sure you define like student 2, otherwise you'll keep on failing.

Sometimes wapo waliomaliza chuo but they just have their certificates to sit at home with.

Wanafunzi wanafundishwa ways and self employment concepts but hawawezi kuzitumia kujiajiri. Shule imekuwa sehemu ya kukusanya A tu wala sio tena sehemu ya wanafunzi kupata maarifa na uelewa. Mwanafunzi anapimwa uelewa kupitia mitihani tu.
Mtihani ambao umetungwa kwenye basis ya baadhi ya topics. Je? hiyo inatosha kupima uelewa?

Shule haziwapi wanafunzi nafasi ya kuwa free in decision making lakini inawatrain kufuata maelekezo.

Kwa mfano kunyoosha mkono unapotaka kujibu swali na kuomba ruhusa pale wanapohitaji kwenda chooni.

Lakini Shule ni mfumo usiobadilika tofauti na ukuaji wa Teknolojia katika mifumo mengine. Kuna tofauti kati ya gari ya miaka 50 iliyopita na gari ya sasa. Simu ya miaka 50 Iliyopita na ya sasa.

Lakini kwa shule na elimu mfumo wake haujabadilika miaka Yote.

"Some people are good at scoring better and some are smart genuine"

I'm allowing intellectuals to criticize in their own way of understanding..
But its for the betterment of me and other members indeed.!

(Nawaruhusu wasomi na wadadisi kukosoa kwa hoja kwa manufaa yang u na wengine Kama Mimi)
 
Shule in a modern sense ni kiwanda, walimu ni wafanyakazi wa viwandani na wewe mwanafunzi ni malighafi inayopitishwa katika production line to be made into a final product that fits into a giant "World operating Machine"

Shule zimewekwa kukutrain kuwa vile unavyotakiwa kuwa ili tuweze kukuexploit.
 
It seems like the thread is so critical that I got no back up and feedback where are the intellectuals and elites to say something
Ukoloni haukuisha... Ulibadilika mfumo.

School plays a vital role in ensuring that the masses do follow the Masters wishes obligingly.

Nilisema hapo mwanzo.. ukitazama production line ya kiwanda.. utagundua Haina tofauti na shule periodt..

Na ukikubali unachoambiwa tuu shuleni.. utajikuta msukule.. locked up in a master's way of thinking. Na kwa sehemu kubwa shule Duniani ndicho zinaaim kufanikisha. So you can a depend on the corporate run lifestyle.

So again what is school!? That's for you to figure it out.. you go in to be given a certification, ?then thats it for you.. you wanna acquire knowledge and think freely as a free libereted man!? It's all up to you. Make it what you want it to be.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
zagarinojo,
Unaona ulivyo andika post yako vizuri? Ndio umuhimu wa shule sasa huo. Hivi ulishawahi ona wale wanaoandika kitu kama "Nimetumia miaka kama 13 nikiwa shule lakini mpaka leo sijui shule ipi kwa ajili gani".

Yaani huo uwezo wako wa kukaa na kupanga point kwamba shule haina matumizi, basi ndio matumizi yenyewe hayo!
 
juzi umepost kua umeacha shule ukiwa form 3 bt leo unasema umetumia 13 years shule hebu fafanua kidogo hapa mkuu
 
The caption is contrary to the essence of your post.

The caption, I suppose, would have been: MFUMO WA ELIMU WA TZ.

"THE TZ EDUCATION SYSTEM"

all in all you are very right.
 
Back
Top Bottom