What is "QMS" and its exolanation?

Quantitative Methods. Ndio kirefu chake

inahusika na statistics kwa maana ya
1) measure of central tendency kama
a)mean
b)median
c)mode
d)Quartiles

2)measure of dispersion kama

a)variance
b)standard deviation
c) mean deviation

3) Distribution functions mbalimbali kama
a)binomial
b) poisson
c) constant function
d) normal distribution
e) student t distribution
nk

4) pia inahusika na distribution from sample
.
mambo ya confidence interval

5) Hapa kuna Test of Hypothesis



hii course iko Mzumbe na baadhi ya vyuo ila wakati mwingine kwa majina tofauti
 
Elezea QMS kwenye nini?????


Kwa upande wa Quality Engineering nitakwambia ni:
QUALITY MANAGEMENT SYSTEM(QMS)
A quality management system (QMS) is a set of policies, processes and procedures required for planning and execution (production/development/service) in the core business area of an organization (i.e., areas that can impact the organization's ability to meet customer requirements).
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom