what is happening to Tz media

Bongo Lala

Member
Apr 21, 2008
30
0
it has been like a tradition worldwide that the media houses support each other especially during bad times. But to my utter dismay after the suspension of local investigative paper Kulikoni i have not seen any of such solidarity. where is the media heading to? the government would be in good position to shut down media houses as it wishes if this kind of thing go on like this. It is now high time that journalists and media houses assess themselves to see where they have gone wrong.

i submit
 
Vyombo vya habari Tanzania havina wapiganaji, waandishi wengi ni dhaifu na wamenunuliwa na mafisadi. Nilifuatilia report ya TBC1 kuhusu kufungiwa kwa Kulikoni nikasikia kichefuchefu. Eti mwandishi amewa-set wajinga fulani wazungumze ku-support hatua ya serikali kulifungia gazeti badala ya kuweka solidarity kupambana na sheria mbovu zinazokandamiza uhuru wa vyombo vya habari.
 
Sababu kubwa ya Tanzania kubaki nyuma sana katika kufanya mabadiliko ya kisiasa ni hao hao waandishi wa habari; our society is not well informed. Ngoja uje uone uchaguzi wa CCM ukifika jinsi wahariri na waandishi wa magazeti mbalimbali watakavyoshindana kutafuta vyeo huko.
 
ni kweli lakini kuna Mwanahalisi la leo toleo 171 wameijadili habari page # 3; kaandika ndugu yetu Ndimara. kichwa cha habari kinasema "MSIMU WA KUUA MAGAZETI WAJA" - tumfagilie

Lakini website yao bado wana toleo 170... kwa hiyo subiri watalamu watalipachika hapa
 
Watakuwa na solidarity gani wakati wanajua ndo kipindi cha kuuza baada ya competition kushuka!..huh!

kwa kweli ni kipindi cha kuuza.

jana taarifa ya habari ya itv saa 2 usiku walionyesha clip moja sijui kipindi gani cha Sudi mnete (tbc) akimhoji mwanasheria Philemon kuhusu maoni yake juu ya kufungiwa 'Kulikoni' akajibu serikali imefanya vizuri kabisa 'lakini' sijaisoma hiyo habari iliyofanya wafungiwe....

jamani hujaisoma habari hivyo ni dhahiri hujui upande wa pili wa story sasa unahitimishaje kuwa serikali was right....
 
Yule mwanasheria aliyeletwa pale TBC1 siku ile ni feki kabisa, anaonyesha wazi kwamba alichezwa ili aongee yale maneno.

Hakuwa na confidence ya LAWYERS ninyoifahamu, he was just a bogus stooge-thing.
 
Yule mwanasheria aliyeletwa pale TBC1 siku ile ni feki kabisa, anaonyesha wazi kwamba alichezwa ili aongee yale maneno.

Hakuwa na confidence ya LAWYERS ninyoifahamu, he was just a bogus stooge-thing.

sikuangalia kipindi bt that peace "quoted" by ITV made me feel ashamed on his and the presenters behalf.

mkubwa ile kweli ilifekiwa kwa lengo fulani!!!! huu mwaka wa maajabu...
 
Kwa mtaji huu nimeacha kuangalia TBC kwa mda mrefu sana tokea wakate matangazo yao ya moja kwa moja toka bungeni wakati muheshimiwa Dk.Slaa anawasilisha hoja ya upinzani baada ya Waziri Mkuu Pinda kumaliza kuutubia bunge,Mkurugenzi wao Tido alivyo ulizwa akasema eti kulikuwa na itilafu za mitambo kitu ambacho ni cha uwongo,awakutaka wadanganyika wasike hoja za upinzani.
Mimi nyumbani kwangu iyo TV haingaliwi na mtu yoyote kwani kwa kifupi inapotosha wadanganyika.
 
Unahitaji kuwa mwendawazimu ili kusupport media ya bongo.Unproffessional doings,rubbish,exploitation,low wages,no NSSF payment to the employees.Trust them?
 
Unahitaji kuwa mwendawazimu ili kusupport media ya bongo.Unproffessional doings,rubbish,exploitation,low wages,no NSSF payment to the employees.Trust them?

hukuwa na sababu ya kutusi industry namna hiyo hata kama ina mapungufu... bila hiyo rubbish ungejua nchi yako?

Wewe unalaani hawalipi dues zao lakini wewe huyohuyo hutaki kuisupport, itanyanyukaje?
 
I watch CNN rather than this rubbish from TBC!There is no impartiality,ni kupromote viongozi .Hakuna independence of mind,investigative journalism etc.wengi wa waandishi wa habari walisoma TSJ,ambacho ilikuwa ni govt propaganda.
 
Back
Top Bottom