What is happening in the Ministry of natural resources and tourism

Power to the People

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
1,198
892
Habari nilizozipata ni kwamba Ps wa MNRT na Director of wildlife Mr Tarimo wamepigwa kibuti. Mzee Tarimo alikwa na kama miezi mitatu astaafu sijui ni kitu gani kilichofanya mpaka akambiwa aondoka haraka hivi.
 
Dr. Ladislaus Komba has been made special envoy to the Ministry for Foreign Affairs and International Co-operation. Is that 'Kibuti'?
Huu ugawaji wa vitalu vya uwindaji una mikwara.
 
Dr. Ladislaus Komba has been made special envoy to the Ministry for Foreign Affairs and International Co-operation. Is that 'Kibuti'?
Huu ugawaji wa vitalu vya uwindaji una mikwara.

kutoka Ps wa wizara hadi kuwa special envoy wa wizara nyingine ina maanisha anaenda kuripoti kwa Ps wa foreign affairs, hicho ni kibuti kikubwa sana! aliharibu sana pale natural resources
 
Back
Top Bottom