Mtoto mdogo anaimba hata asivyovijua!
Huyu atakuwa kaagizwa kabisaa...Nadhan wanalipwa!ukitaka kuwa successful Tanzania lazima uendeshwe km remote!..matajiri wote migodini ni ccm...tena had wanajenga vituo vya police bure!.labda kwaajili mm sio tajiri .nna documents zote sahihi za serikali sipelekeshwi aisee!huyu Nandy anatumika!
Haahhaaa...kwamba Nandy anatafta green pasture😅Kuna namna nyingi Mwanamke anaweza akajitongozesha kwa Mwanaume anayempenda hasa akiona huyo Mwanaume hamtongozi.
Haahhaaa...kwamba Nandy anatafta green pasture😅
I don't get it.