What is going on?

Nadhan wanalipwa!ukitaka kuwa successful Tanzania lazima uendeshwe km remote!..matajiri wote migodini ni ccm...tena had wanajenga vituo vya police bure!.labda kwaajili mm sio tajiri .nna documents zote sahihi za serikali sipelekeshwi aisee!huyu Nandy anatumika!
Huyu atakuwa kaagizwa kabisaa...
 
Tayari kishapotea kwenye game huyo,msanii ukishaingia kwenye siasa hasa za afrika kazi shila ...haitakuwa na jipya tena binti mdogo kama yy kujichanganya kayumba mwanzo mwisho mtaja nambia.
Inashangaza sana....
 
Haahhaaa...kwamba Nandy anatafta green pasture😅

Wanawake huwa na Desturi ya Kusimuliana ni Mwanaume gani huwa anagawa sana Pesa au anajua Kutunza ili nao wajitupe wakajaribu bahati. Yawezena huyu Binti labda nae ana Ushosti na Wakubwa zake wa Uwekezaji, Kisarawe Shambani bila Kumsahau na wa Bamaga mkabala na TSN Petro Station pamoja na wa Afya za Wanadamu nchini.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom