Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,466
- 512
Wanajamvi naomba mwenye uelewa wa hii kitu, hati ya onyo kabla ya kumshitaki mtu, je Sheria inasemaje na je ikawa umemshitaki mtu bila hii kitu what is the implication?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna wakati tunataka kupima credibility ya kama alichokisema soon after the insidence is the same in substance or ana afterhougt after coup of days. Pia kama anayentaja kuhusoka alimtaja pia mufa mfupi baada ya au kumjua au kumtilia shaka. Any information on records sounds clearer that that not on records. Any unexplained delay to make a reprot may raise doubt to the victim's credibility. Remember any doubt benefits the defence side.Wanajamvi naomba mwenye uelewa wa hii kitu, hati ya onyo kabla ya kumshitaki mtu, je Sheria inasemaje na je ikawa umemshitaki mtu bila hii kitu what is the implication?
nianze kwa kusema hakuna kitu kinachoitwa hati ya onyo bali maelezo ya onyo. soma kifungu cha 9 na 10 cha CPA. Hayo ni maelezo yanayotolewa na mtuhumiwa katika ushiriki wake katika kosa analoshitakiwa nalo. Katika hayo maelezo anaweza kukiri huhusika au kutohusika na kile anachoshtakiwa nacho.kinu vitu vya kuzingatia katika kuchukua hayo maelezo, kama yuko free kuyatoa, kama hakuna vitisho au kuteswa, kama atapenda ndugu au wakili awepo wakati akiyatoa, muda sahihi wa kisheria wa kuyachukua na yeye kusaini mwishoni. Soma kifungu cha 27 (2) Evidence Act. Maelezo yanaweza kuchukuliwa kwa mtindo wa maswali na majibu au maelezo ya jumla sections 57 and 58 CPA. hayo maelezo ni ushahidi mzuri ingawaje yanaweza kukataliwa kama taratibu za kuyachukua zilikiukwa. hata hivyo unaweza kutumia ushahidi mwingine na hata hivyo siyo lazima kutumia ushahidi huo. Kwa kesi kama za mauaji mtuhumiwa akikiri katika maelezo ya onyo hupelekwa mbele ya mlinzi wa amini ambapo akikiri tena kunakuwa na kitu kinachoitwa EXTRA JUDICIAL CONFESSION au maelezo ya ungamo kwa kiswahili. next time tutaanza kuchaji fee kwani ni professional misconduct kwa wakili kufanya kazi ambayo haina malipo.