What if your a loanless victim

Kauzu B

Member
Aug 26, 2011
15
1
Kwa wanachuo wote TANZANIA wenye mkopo : IMAGINE we ndo umekosa huo mkopo ulonao what will hapen, DONT NEGLECT WALE WASIO NA MKOPO, LET'S BE TOGATHER IN DECISION MAKING AND IMPLEMENTATION
 
Pole ndugu ya Kauzu B!
Shida ya Nchi hii ni kuwa kila mwenye kulia anashika kichwa chake! Na hapa ndipo wanapopata nguvu wale mabaladhuri ambao wanaendelea kutunyonya!

Umoja wetu (wanyonge) ndiyo silaha pekee tulobaki nayo! Japo safari ni ndefu sana! Hata hivyo huu si wakati wa kukata tamaa!
Wanyonge tuungane, hatuna cha kupateza!
 
Kama hawa 1st year wa mwaka hu cdhan kama kuna m2 anae weza goma,wamejaa utozi.
 
Kama hawa 1st year wa mwaka hu cdhan kama kuna m2 anae weza goma,wamejaa utozi.

Senetor...mimi hapo ninabisha kidogo. Sio wote matozi (mfano mimi sio tozi). Ila wengi matozi, halafu waoga tu.....Nilipata picha ile siku ya kuchukua admittion letters pale udsm walituzingua kwenye picha, ila cha ajabu watu walitulia tu, wanaogopa kudai haki yao.
 
ukija hapa hill lazima uwe comandoo dogo!!
 
Ukiona kobe kainama jua anatunga sheria, siku likilipuka tutajua mbivu na mbichi. Hatuna cha kupoteza tusipogoma bado wengi hatutaendelea na masomo.
 
Watanzania hatuendelei kwa kuendekeza misaada.
Kwani ni lazma kila mmoja akopeshwe na serikali!
 
Kama hawa 1st year wa mwaka hu cdhan kama kuna m2 anae weza goma,wamejaa utozi.

acha imagnation. Umewapima wote?. Mtu anayegoma huwa anakuwa na sifa zipi?. Mgomo sio swala la kujisifu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom