What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,861
2,000
Sack natambua vyema kwamba sehemu yote ya pwani ilihodhiwa na waarabu wa Oman ila pia nataka utambue kuwa baada ya wazungu kuja Africa sehemu hiyo ya Zanzibar ikijumuisha Pemba ,Unguja na Mombasa ilimilikiwa na Waingereza na tena si baada ya kuporwa ila kwa makubaliano maalum yaliyofanyika huko jijini Berlin Germany

Heligoland Treaty ya 1890 kati ya Germany na Britain ndio iliratibu makubaliano ambapo Britain watakubali kuichukua Zanzibar na Pwani yote ila wakawaachia Germany Tanganyika pamoja na baadhi ya nchi za Africa kama Togo n.k.

Hivyo basi baada ya vita ya kwanza ya dunia na Germany kuporwa makoloni yake yote na mengi yakiwa chini ya usimamizi wa Uingereza haikuwepo namna ya kuifanya Mombasa tena iwe sehemu ya Tanganyika bali muingereza aliifanya iwe sehemu ya Kenya
Sasa mkuu kwa Sababu Zanzibar na Mombasa zilikuwa chini ya Sultan kabla ya Wazungu kuja, Sultan angeweza kufanya negotiation na Waingereza kuwa walipowapa Uhuru 1963 wangemkabidhi Muarabu Zanzibar pamoja na Mombasa

Actually Sultan alikuwa na argument nzuri kushawishi Mombasa ikabidhiwe Zanzibar badala ya Kenya kwa Sababu, dola ya Zanzibar ilikuwepo miaka mingi kabla ya Kenya ku exist, na demographic na culture ya Zanzibar na Mombasa (Waarabu, Waswahili, Waislam) zimefanana sana kuliko Mombasa inavyofanana na Kenya ambayo Ni nchi ya Wakristo weusi
 

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
Mombasa ilikuwa ni kipande cha Zanzibar, na mlima kilimanjaro ulikuwa ni eneo la Kenya.
Wajarumani na waingereza wakabadilisha.
Mkuu ebu acha kupotosha katika hyo Raman ya inaonesha UK alitawala Zanzibar na Mombasa haioneshi kua Mombasa ilikua sehemu ya Zanzibar....


Kwakua mtawala alikua mmoja katawa maeneo tofaut haina maana hyo n nchi moja


Bas Kama n Hivyo Kenya,Tanzania,Somalia ,Zanzibar,Uganda ,Zambia ,South Africa ,Egypt ,Sudan zingekua nchi moja kwa kigezo hicho.....

images%20-%202020-08-07T132031.849.jpg

Angalia hyo Raman inaonesha makolon ya wingereza ....hatuwez sema hayo yote n maeneo ya Egypt au Tanzania eti tu kwa kigezo kua mtawala alikua mmoja..
Hailet mantiki
 

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
Mombasa ilikuwa sehemu ya Tanganyika ndio.maana kuna makabila kama wadigo wapo mombasa na Tanga na Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya Kenya.
Ni kweli kenya waliwahi kuidai Kilimanjaro lakini rais wa kwanza wa Tanganyika akawaambia wairudishe mombasa kwa kuona watakosa bandari wakafyata mkia.
Ebu tupe vielelezo mkuu maana unaongea Mambo mazito pas n sehem ya kurefer
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,861
2,000
Mkuu ebu acha kupotosha katika hyo Raman ya inaonesha UK alitawala Zanzibar na Mombasa haioneshi kua Mombasa ilikua sehemu ya Zanzibar....


Kwakua mtawala alikua mmoja katawa maeneo tofaut haina maana hyo n nchi moja


Bas Kama n Hivyo Kenya,Tanzania,Somalia ,Zanzibar,Uganda ,Zambia ,South Africa ,Egypt ,Sudan zingekua nchi moja kwa kigezo hicho.....

View attachment 1529759
Angalia hyo Raman inaonesha makolon ya wingereza ....hatuwez sema hayo yote n maeneo ya Egypt au Tanzania eti tu kwa kigezo kua mtawala alikua mmoja..
Hailet mantiki
we kumbe huijui historia vizuri, Zanzibar NA Mombasa zilikuwa kitu kimoja kabla ya huyo Muingereza kutia mguu na kuweka ramani zake
 

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
we kumbe huijui historia vizuri, Zanzibar NA Mombasa zilikuwa kitu kimoja kabla ya huyo Muingereza kutia mguu na kuweka ramani zake
Kitu kimoja ndyo nn mkuu ebu eleza Kama mtu anaejua Jambo yaan from no where useme zilikua kitu kimoja

Wakat umbali kat ya Mombasa na Zanzibar takriban 450km na zinatenganishwa na maji kat yake
Kigeographia Mombasa n kitu kimoja na Kenya cyo Zanzibar

So unavosema kitu kimoja ujue kuelezea kwa lipi...culture au mtawala alikua mmoja...na hata hivo haitoshi kusema n kitu kimoja wakat n sehem mbili tofaut Sana
Screenshot_20200808-123308.jpg


Huo n umbali Kama unaenda kwa gar....kilomita 600 na kitu ..so umbali actual unaeza kua km450-500 hivi
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,861
2,000
Kitu kimoja ndyo nn mkuu ebu eleza Kama mtu anaejua Jambo yaan from no where useme zilikua kitu kimoja

Wakat umbali kat ya Mombasa na Zanzibar takriban 450km na zinatenganishwa na maji kat yake
Kigeographia Mombasa n kitu kimoja na Kenya cyo Zanzibar

So unavosema kitu kimoja ujue kuelezea kwa lipi...culture au mtawala alikua mmoja...na hata hivo haitoshi kusema n kitu kimoja wakat n sehem mbili tofaut Sana
View attachment 1530843

Huo n umbali Kama unaenda kwa gar....kilomita 600 na kitu ..so umbali actual unaeza kua km450-500 hivi
Kitu kimoja namaanisha ilikuwa dola moja, sio Zanzibar na Mombasa tu Bali Pwani yote ya Africa Mashariki ilikuwa dola moja

Mtawala alikuwa Sultani ambaye alihamia Zanzibar kutoka Oman, lugha yao ilikuwa Kiswahili, Dini yake ilikuwa Uislam na walikuwa na fedha na bendera yao pia

Wajerumani na Waingereza walipokuja ndio wakamtawala Muarabu na kuchora mipaka mingine ambayo ndio inatumika Hadi sasa

Sultanat_de_Zanzibar_vèrs_1875.png
 

Mngurimi

JF-Expert Member
May 27, 2020
823
1,000
Habar jf
Kwa wasiojua historia it's crazy!!!

This is just what if

Mwaka 1937
British alikua ameshikilia maeneo ya
Mombasa Na Zanzibar
Angalia RamanNa tunajua Tanzania n muungano tanganyika na Zanzibar....
Assume Kama Zanzibar na Mombasa zingedai uhuru mapema na kuupewa so ovious ingekua nchi moja ingawa sdhan Kama ingeitwa Zanzibar ....but tuassume ingeitwa Zanzibar
Halafu Baada ya tanganyika kupata uhuru zingeungana Kama ilivo Sasa

So Mombasa ingekua sehemu ya Tanzania!!

Nini kingebadilika Tanzania

-Tanzania ingekua ndiyo nchi kubwa zaidi East Africa

-Tanzania ingekua ndyo nchi ya kwanza kwa idadi ya watu .Kwasasa ~~mil 59 estimate

As per census ya 2017

Na miji yote miwili mmoja no moja -Dar es Salaam
No mbili Mbombasa yote ikipatikana Tanzania .... Mind you Mombasa city alone n Kama watu milion 1.7
Ukiunganisha na county zinazoizunguka za kwale na kiliwa~~~ almost milion5
Mombasa ya British ilijumumisha izo count mbili so total watu Milion7 ivi approx.

So kwa Sasa Ndyo tungekua na population ya watu milion 65/66
Tanzania = watu milion 66


-Tanzania ingekua ndyo mother of port in East Africa
Ikiwa na the largest water port dar es Salaam
And the second largest water port Mombasa

-Tanzania ingekua ndyo yenye largerst costal line ukitoa Somalia

-Tanzania ingekua ndyo fastest growing Country in East and central Africa above Angola ,Kenya , Ethiopia but behind nigeria,South Africa and Egypt

-Tanzania ingekua the most powerful millitary in Africa above All east african countries Ethiopia,uGanda,Kenya,Sudan and southen Angola hata Nigeria military wasingeona hapa....but behind Egypt
Hapa watu watataka kujua

Kuwepo kwa Mombasa ya mwaka1937 Kama sehem ya Tanzania kungefanya tuwe karibu Sana na Somalia hivo KUFANYA security risk....So muda huu majeshi ya Tz ya ngekua Somalia, pamoja na majeshi ya Ethiopia na Kenya
...Kenya ingepata ahueni hapa....

So Kutoka kupgana na Uganda 1978 na Kuwa katka constant operation za kijeshi Somalia bas Tanzania ingehitaji
Military Navy za kutosha,War plan n helicopters

Kwa kenya!!....
wataongelea wenyewe
Just comment what u think

This is based on assumptions,not political issues .....
Jiwekuu
Sorry, your hand write is confusing me!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom