Elections 2010 What if mgombea wa chadema igunga angekuwa muislam?

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?
 
Walivyosemaga siasa ni mchezo mchafu nadhani hawakukosea.
 
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?
Sasa unataka tujadili nini wakati wagombea wote ni wakiristo! What if Dr Slaa angekuwa rais?
 
Back
Top Bottom