Mla Mbivu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 224
- 48
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?