What if...? Marvel saluti kwenu

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Kama wewe ni mpenzi wa animation basi hii series ya Marvel ya What If si yakukosa episode ya kwanza mambo yanabadilika Kwenye mashine ya kutengenezea superpower badala aingie steve anaingia agent cartel Kutokana na steve kupigwa Risasi sasa huyu binti ambaye ni partner anakiwasha humu balaa Embu Imagine ingekuwa Movie

Kutana na steve akiwa ndani giant robot suit.

Nimeipakua episode 2 Tu

Marvel Salute kwenu Rate 9/10
 
Marvel always for the win, nlifikir hakutakuwa na phase nzuri zaid ya ile iliyoisha ya Endgame nashangaa hii phase mpya imekuwa ghafla,
Kevin Fiege anatusalimia kwa jina la jamhuri ya united states, sema yeye anasalimia vizuri na kwa habari nzuri sasa
 
Nimeshusha Ina episode 2 Natamani waachie hizo zilizobak hawa jamaa ni vichwa asee
 
Kila ijumatano nawafatilia asee natamani huku ingekuwepo pia Disney plus.
Naisubiria saa tano nishushe ep 3 nadhani wiki ijayo hakutakua na episode since zimebaki 6 na zitaisha mwezi wa 10. Zikiisha tunaanza na Hawkeye hao tunasubiri Spiderman movie
 
mpaka 10 arosto wanatuachia
 
walisema marvel ni uaandaaji wa mpinga kristu..
nipo huku kiborloni ndani ndani so inaezekana hata marvel sijui ni nini..nisamehewe
 
Sijajua hiyo ni theory au sema maybe ila nachojua kwa sasa wako vzr labda baadae wabadilike so far marvel movies zao hazina mambo ya ajabu unaweza angalia na familia hazina nudes, kissing wala violence za ajabu ukilinganisha na movies nyingine zenye mambo meusi
 
The Punisher is really dark and gruesome, a pure depiction of Marvel's grotesque iteration. For a Marvel's Movie the senseless violence is just appalling......
 
The punisher kweli iko na violence sema ile ni Tv show hapo nyuma walikuwa hawafanyi vizuri sana kwa Tv shows lakini sasa hivi naona wanabadilisha hiyo wanajitahid toka TFAWS, Loki,Wanda vision. Wamekuwa acquired na Disney hiyo inaleta unafuu maana Disney mara nyingi ni Kids friendly.

Kusema yote hayo sijui sana maana hii dunia ina vitu vingi vinaendelea behind closed doors, inaweza ikawa plan kuanza innocent mpaka kuishia kuwa kama HBO

Napenda sana.movie za marvel.. lkn too bad siangaliagi animation

Marvel movies zote sio animation zipo za kawaida
 
The punisher kweli iko na violence sema ile ni Tv show hapo nyuma walikuwa hawafanyi vizuri sana kwa Tv shows lakini sasa hivi naona wanabadilisha hiyo wanajitahid toka TFAWS, Loki,Wanda vision. Wamekuwa acquired na Disney hiyo inaleta unafuu maana Disney mara nyingi ni Kids friendly.

Kusema yote hayo sijui sana maana hii dunia ina vitu vingi vinaendelea behind closed doors, inaweza ikawa plan kuanza innocent mpaka kuishia kuwa kama HBO

Marvel movies zote sio animation zipo za kawaida
Nimesema siangalii animation tu.. lkn movie za marvel ambazo sio animation nadhani nimeangalia zote.. kuanzia Cap America the first Avenger hadi Avenger End game..
Mpaka hizi series za LOKI , falcon & winter soldier n.k
 
Hongera mkuu
 
The punisher kweli iko na violence sema ile ni Tv show hapo nyuma walikuwa hawafanyi vizuri sana kwa Tv shows lakini sasa hivi naona wanabadilisha hiyo wanajitahid toka TFAWS, Loki,Wanda vision. Wamekuwa acquired na Disney hiyo inaleta unafuu maana Disney mara nyingi ni Kids friendly.
Nakusoma, lakini tangu Marvel ichukuliwe na Disney bado kuna filamu nyingi tu zimejaa damu, lugha mbovu na vitendo vya kishoga. Hebu angalia Dead-Pool, Logan zote zilivyo, tena hapo bado nasikia Spawn, Blade na Moon-Knight ambazo zimejaa Blood & Gore zinatengenezwa. Hollywood mbali na kutupa burudani, kuna ajenda zinasaidia kusambaza.....
 
sahihi kama hiyo cruella haijakaa ki Disney kabisa..Dead-pool na Logan ni Marvel ila Licensed by Fox, Logan niliwahi angalia mara moja sikurudia tena kuna gruesome violence hatari. Hollywood ukiacha burudani ni wabaya sana kuna perceptions & stereotypical ideas ambazo wanazisambaza dunia nzima sio nzuri kabisaa.
Mfano wanavyoonyesha kuwa Africa ni Wanyama na mapori huwa nakerekwa, mpaka baadhi ya wageni wakija wanasema mbona kuko tofauti na walivyodhania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom