What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)

Makumbele

Member
May 9, 2009
65
390
Wakuu,

Nimeshtushwa na taarifa hii ya Total na inaleta hofu kwangu kama mtanzania juu ya hatma ya wafanyabiashara na makampuni makubwa nchini.
Nini kinaendelea?

Juzi nilisoma hii >>> Dar: Vigogo wa Total watiwa mbaroni - Imevuja!

Ghafla nakutana na hii 👇🏾

38FE0182-F43D-492C-88BA-7476F17454D8.jpeg
 
Wamegoma kuipa ccm pesa za kampeni, wakapandishiwa kodi wanatakiwa walipe nusu yake kabla ya majadiliano. Wameona isiwe tabu bakini na utopolo wenu.
Usiingie uwanja wa mpira na shoka!!! Tulizana kwanza! Soma mchezo, ni timu zipi zinacheza...uliza kama wameishafungana na kama kuna anayeongoza ama wako sare. Ukishapata majibu. Omba udhuru uendelee na safari yako ya kwenda kupasua kuni!
 
Watanzania wengi wachangiaji humu wajinga kwa wenzetu kampuni Ni sawa tu na genge la nyanya wawexa kuiuza au kununua Kama nyanya au bidhaa sokoni

Mfano umelipenda duka la Mangi au la mpemba unamwendea unasema Mimi siji kununua unga au maharage nataka kununua duka lako na leseni yako akikubali unamlipa duka linakuwa lako ndicho Total wanachofanya wanauza biashara , biashara Ni bidhaa Kama zingine tu
 
Total nimoja ya makampuni yanayojenga bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda to Tanga, nabado ndo watakuwa wenye nguvu ya kisheria ya kuuza mafuta hyo baada ya kusafishwa.

Hivyo moja ya mashart ya kufanya kazi hyo nikwamba hutakiwi au huruhusiwi kufanya tena biashara ya kuagiza mafuta safi na kuyauza, hivyo imewalazim kuachana nahiyo biashara ili kanuni na mashart yazingatiwe nawapewe kibari hicho.

Nakwataarifa yko kampuni itakayo nunua itakuwa ni hao hao zaidi sn nikubadirisha jina. Hata tenda hz unazoziona ni funika kombe mwanahayawani apite. LIKE BARRICK , PANGEA, NK.

Upo hapo.
 
Stupid wamesema wanafunga au wanauza kampuni?
Kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
 
Kwani Rais Magufuli aliposema wizi wote watakimbia mjini ulifikiri aliimanisha wale tu kutoka kijijini kwenu? Wizi na Mafisadi wanaisoma namba kweli kweli. Hata wewe kama ni fisadi acha kabisa lazima watakufikia tu!
 
Back
Top Bottom