VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Please people in the know, does anyone have news or feedback of what happened to this issues
- Ile issue ya vyoo vya shimo kwenye kata tano 3.2 billion, je wameshafatilia, je muusika ameshawajibishwa
- Yale maandamano ya kupinga uchaguzi marekani, je yalifanyika au ilikuwa bra bra na sound tu
- Yule mtu wa IT wa chadema aliyepotea je alishapatikana
- Kesi za kuchakachua matokeo apart from mpendazoe kuna mwingine yoyote aliyeshawakilisha kesi
- Kesi ya kina Yona na Mramba its taking too long what is happening
- Nasikia Zain inampago wa kuuzwa tena that means hawajalipa wala hawatalipa tena kodi is there no way ya kubadilisha hii mikataba ya kifedhuli