What happened to marafiki.com (darchat)

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
MARAFIKI.COM ilikuwa my best chating site nlikuwa naingia uko kwa day nakukaa hours meeting new friends chatting na wa bongo

wenzangu hehehe! just chating yani ilikuwa bomba sana n that was like a year a go sasa mashindwa elewa mpaka leo yani imetelekezwa au ndo

ule ule uzembe wa wabongo... why? Yani ni kwamba ukifungua hompage nafunguka fresh kabisa Marafiki.com - making friends has never been

so easy...
sasa tatizo linakuja kwny button au place unapoclick kuingia chatroom... ni kwamba walikuwa wana domain name mbili Darchat.com

na Welcome To Marafiki.com | Karibu Marafiki.com sasa iyo link ya kuanza ikaisha muda wake wa kulipia na ime expire but the second one works

fine sasa tatizo ni kwamba kwenye HOMPAGE imelinkiwa link ya kuanza iliyo expire sasa since last year mpaka leo hawaja fix apo au kuapdate iyo

link ata kusema labda wameshindwa lipia iyo link ya kuanza sasa kwanini wasi update hompage na kulink link ya pili ambayo ndo inakudirect moja

kwa moja kwenye chatroom?... kweli this is insanity au labda kuna sababu zingine coz kwa sasa iyo link ya pili wanao watu wachache sana so

room kwa day anaingia mtu moja mara siku zingine hamna mtu kabisa... kwasababu watu wanafungua homepage na wakiclick kuingia

chatroom wana kuwa redirected kwenye page inawaombia kuwa imexpire.
 
Ni lazima wafunge ili kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Siku hizi huwezi kupoteza mda unachat kupitia marafiki.com, watu wengi ni Facebook, twitter, whatsapp, instagram, BBM nk
 
Umenikumbusha mbali sana. Hivi hakuna site ya kitanzania ambayo ina live chart kama ile pamoja na darhotwire
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom