What does a Spear and Shield Symbolize to State Status & Sworn in President in Tanzania?

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
3,032
3,478
Esteemed Great Thinkers,

As the subject matter seek to be professionally clarified by the seasoned constitution experts I appeal interpretation offered to our understanding as the normal synonym does not figure out what is the codification?

Spear represents victory, masculinity, the phallic power, will and fertility of the earth.
1604595379669.png

Shield represents defense, protection from danger, risk or other unpleasant experience. It prevents something from seeing you or attacking you.
 
Hizo ni alama za kwenye nembo ya taifa, ile Bibi na Bwana, katika ni ngao, na katikati ya ngao, kuna mkuki.

Kazi ya ngao ni kukinga, shields against everything, na kazi ya mkuki ni kuchoma, kushambulia, attacks every thing against our nation.
P
 
Nasubiri kwa hamu uteuzi wako
Utasubiri sana!.
Angalia tarehe za hizi threads alafu ujiulize, huyu ni mtu anayetafuta uteuzi?.

- Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), Lawamani Kuwaengua Wagombea Kwa Hoja Nyepesi Nyepesi, Je ni Ukiukwaji wa Haki za Binaadamu? Jicho Letu

- Uchaguzi 2020 - Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...

-https://www.jamiiforums.com/threads/hongera-rais-magufuli-kwa-somo-la-managing-diversity-tanzania-bado-tuna-tatizo-la-ukosefu-wa-political-tolerance.1747158/

-https://www.jamiiforums.com/threads/wito-cj-prof-ibrahim-juma-make-a-historia-kwa-mahakama-kutimiza-wajibu-wake-kulinda-haki-tumia-suo-moto-kui-check-serikali-pia-ruhusu-pro-bono.1706314/

-https://www.jamiiforums.com/threads/misafara-ya-viongozi-inachosha-inatesa-na-kurudisha-nyuma-maendeleo-igp-sirro-peleka-traffic-sweden-kujifunza-misafara-ya-wenzetu-time-is-money.1662451/

- Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

- Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

P
 
Utasubiri sana!.
Angalia tarehe za hizi threads alafu ujiulize, huyu ni mtu anayetafuta uteuzi?.








P
Uteuzi unakunyemelea, ukiuchomolea wewe kidume
 
Back
Top Bottom