What did Yvonne Chakachaka meant when she broke the protocol on GAVI forum opening at state house!

JK alichomwa moyo saoa na yale maneno. Kwa mtu aliyekuwa makini kumwangalia ni kwamba alikerwa kabisa na hakupenda kuendelea kusimama pale mbele, maana kwa wenye akili zao aligeuzwa KITUKO.
Na mbaya zaid, yule mama anaongea akiwa amekaza macho na anamface mtu machoni.
JK hajazowe hizo, maana hadi waziri wa mambo ya ndani, pamoja na unyeti wa wizara yake huwa anampa ripoti JK huku akiwa anacheka hadi jino la 36!
Chezeya Machaka weeee!
 
Jana TBC ilikuwa inarusha matangazo ya moja kwa moja ya GAVI Alliance Forum ambayo ilikuwa inahusisha wahisani wa mfuko huo amabo ni mahususi kwa kusaidia kupatikana kwa chanjo za watoto bure kwa nia ya kupunguza vifo kwa watoto chini ya miaka mitano.

Kupitia TV sikuweza kumuona Nape bali mwenyekiti wake wa CCM na baadhi ya makada lakini kama mwenezi wa chama natumaini aidha alikuwepo au alifuatailia kupitia runingani kwa umakini.

Maneno aliyoyasema Yvone Kwa Mwenyekiti ni haya yafuatayo:-

1. Let partners' money not go back to swiss banks

2. You should walk the talk

3. What makes you proud if things are not in right ways

Kwa mtazamo ni maneno mazito kwa CCM na ni vizuri Nape kama mwenezi akayaeneze kwa CCM wenzake badala ya kupamabana na umiliki wa kadi ambao hauna tija kwa CCM wala kwa Taifa

Alichocomment Chaka Chaka nadhani kina ukweli sana ndani yake,kama ni msg imekuwa sent and delivered na serikali tukufu iliyotukuka na sikivu ya CCM watakuwa wamelielewa hilo pia!!!!!!!!!!!!!
 
JK alichomwa moyo saoa na yale maneno. Kwa mtu aliyekuwa makini kumwangalia ni kwamba alikerwa kabisa na hakupenda kuendelea kusimama pale mbele, maana kwa wenye akili zao aligeuzwa KITUKO.
Na mbaya zaid, yule mama anaongea akiwa amekaza macho na anamface mtu machoni.
JK hajazowe hizo, maana hadi waziri wa mambo ya ndani, pamoja na unyeti wa wizara yake huwa anampa ripoti JK huku akiwa anacheka hadi jino la 36!
Chezeya Machaka weeee!

ni watu makini tu kama wewe waliweza kuyasikia na kumuangalia mwenyekiti. Sijui kama Mwenezi amenote maana matangazo yalikuwa kwa lugha ya wenzetu
 
Maneno mazito sana haya.

Japo aliyaongea mbele ya raisi wetu, na kumtazama raisi wetu, ila haya maneno aliwalenga watanzania wote, mimi na wewe.

Kwani ufisadi, ubinafsi, wizi, unyanyapaa nk hauna chama wala itikadi. Ni hulka, tabia na ushetani wa mtu.Chama chaweza kuwa ngazi au bomba tuu.

Tuguswe na tubadilike

Respect !!!
 
Hayo maneno ni mazito kweli, ila yataingia kupitia sikio la kulia na kutoka kupitia sikio la kushoto. Ufisadi haufanyiki kwa bahati mbaya au kwa kutokujua, ni makusudi matupu. Tusitegemee jipya.

Heee, intelijensia inafanya nini ? Mbona hotuba zinatakiwa kuonwa kabla hazijasomwa !!!!
 
Nape hapo maana yake ni kama ifuatavyo
1. Let partners' money not go back to swiss banks = Fedha za wahisani zisirudi katika mabenki ya Uswisi

2. You should walk the talk= Unatakiwa kutekeleza kulingana na kauli zako.

3. What makes you proud if things are not in right ways= Nini kinakufanya ujisikie fahari wakati mambo hayaendi sawa?

Nkosi Sekeleli Africa!
Nkosi Sekeleli Tanzania!

1. Fedha za wahisani zisirudi katika mabenki ya Uswisi

Wanajifanya hawajui nani anzipeleka Uswisi. Mbaya zaidi hawana cha kufanya maana wako "busy" kutawala milele.

2. Unatakiwa kutekeleza kulingana na kauli zako.

Kauli za msemaji wa chama chao ni kumdhibiti DR. Slaa ili kumfanya ajiingize kwenye maigizo yao. Sasa kama Dr. wa ukweli akiwapiga za uso watakuja na "single" ulikuwa utani.

3. Nini kinakufanya ujisikie fahari wakati mambo hayaendi sawa?

Hawa jamaa ni mbuni wanaoficha kichwa kwenye mchanga ili wasimuone adui wakati kiwili chote na hasa makalio yameanikwa. Hawana habari kabisa kuwa mambo hayaendi sawa na haiwahusu.

Mungu awalaani viongozi chama, na utawala wasioona kuwa mambo hayaendi sawa Tanganyika.
 
ccm ni zaidi ya carlos, lile jambazi sugu la miaka ileeeeee!! wananuka wizi na ujambazi!
 
Maneno anayo ambiwa ni yakumjenga sana tena ya maana! Lakini cha kusikitisha ni kwamba linaingia huku linatikea kule! Hapo Hyvone alipoteza muda!

Jana TBC ilikuwa inarusha matangazo ya moja kwa moja ya GAVI Alliance Forum ambayo ilikuwa inahusisha wahisani wa mfuko huo amabo ni mahususi kwa kusaidia kupatikana kwa chanjo za watoto bure kwa nia ya kupunguza vifo kwa watoto chini ya miaka mitano.

Kupitia TV sikuweza kumuona Nape bali mwenyekiti wake wa CCM na baadhi ya makada lakini kama mwenezi wa chama natumaini aidha alikuwepo au alifuatailia kupitia runingani kwa umakini.

Maneno aliyoyasema Yvone Kwa Mwenyekiti ni haya yafuatayo:-

1. Let partners' money not go back to swiss banks

2. You should walk the talk

3. What makes you proud if things are not in right ways

Kwa mtazamo ni maneno mazito kwa CCM na ni vizuri Nape kama mwenezi akayaeneze kwa CCM wenzake badala ya kupamabana na umiliki wa kadi ambao hauna tija kwa CCM wala kwa Taifa
 
mwenyekiti wa ccm alistuka kweli baada ya mama huyo kuongea hivyo na alikuwa kaangaliwa machoni pakavu kabisa
 
Back
Top Bottom