What did you expect?

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Rafiki yangu katoka Switzerland jana na nimemsimulia yaliyojiri hapa kwetu.
Baada ya masikitiko akanieleza kuwa huko Switzerland walishangaa vitu vifuatavyo:

  • crew katika luninga walionekana wamevaa bagrashia na ndala badala ya kuvaa kama wanabaharia
  • meli ni kama chuma chakavu na haileti matumaini kama kweli ni ya abiria
Baada ya hapo raia mmoja wa Zwitzerland akauliza "What did you expect?"
No wonder hakuna raia wa kigeni aliyepanda meli hiyo.

Ninavyojua mimi kukitokea tatizo kwenye vyombo vya usafiri (angani na majini) wale crew huwa watu wa mwisho kutoka kwenye chombo...hii ya juzi nilisikia walikuwa watu wa kwanza kutoka... hapa sijui wanatupa picha gani...
 
"What did you expect?"
 
Chombo hakikaguliwi na kinajaza watu kupita kiasi, kinaruhusiwa kusafiri wenye chombo ni wanasiasa,What do you expect?
 
Eti mmiliki wa meli hajulikani..what did you expect?
Maboya yameoza na yapo 200 wakati abiria ni zaidi ya 1500.what did you expect?
 
  • crew katika luninga walionekana wamevaa bagrashia na ndala badala ya kuvaa kama wanabaharia
  • meli ni kama chuma chakavu na haileti matumaini kama kweli ni ya abiria
"What did you expect?"
.
  • Wana usalama wapo bandarini lakini hakuna wa kujishughulisha uwingi wa abiria
  • Meli inapakia mzigo mpaka basi
  • Meli inaegemea upande na kila mtu anaona
What did you expect?
 
Maiti zimepatika kibao, na huko pemba idadi ya watu waliopotea ni kubwa sana. Ukichanganya na majeruhi bado serikali inatoa idadi ya uongo tuone kana kwamba uzembe uliofanyika si mkubwa sana. Lakini ndo hivyo kama serikali imejaa magamba what do you expect?!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom