What Can Bring Satisfaction For Couples In Marriage?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Peace of mind.
Tolerance.
Maturity.
Committment.
SOLID FRIENDSHIP.
Consideration.
Caring and sharing.
Beautiful well-behaved children.
Financial stability.
Good health.
Family support.
Loving in-laws.
Freedom and PRIVACY.
Great sense of humor.

hizo ni kwa mtizamo wangu sijui wengine...
 
kweli nimekukubali...cha kwanza kabisa ni peace of mind....hiyo ukiwa nayo the rest will fall in place. congrats kwa utambuzi huo
 
Umetaja mengi ya msingi... Hujaweka lakini 'understanding' yaani kumuelewa mpenzi wako au yeye kukuelewa kuwa sasa huyu kachukia, huyu kachoka, huyu kafurahi, sasa kafika kileleni, huyu ana majonzi, huyu sasa ananihitaji like never before... Kuweza kufahamu hizo huepusha sana mifarakano isiyo lazima.

For instance kila ukimpigia mpenzi wako ama akikupigia yupo daima in a good mood. Siku hiyo kakujibu mkato ama kutotilia maanani baasi tayari ugomvi unaanza... Oh' hunipendi tena, Oh' umepata mwingine, Oh' mimi ndio wakunijibu kama hutaki? vitu kama hivo. But kama unamuelewa baadae utamuuliza tu.. Nini kilimsibu, ama hata hapo hapo unaweza muuliza kama kuna tatizo... Enways huo ni mfano.
 
hiyo pia nashukuru kwa kuongezea,watu wakijifunza kwa hizo,migogoro itapungua sana kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom