What are the advantages of beaning a sea man

Bwana mambo ya zamani hayo useaman. Utaishia kufa baharini utupwe huko huko, pesa siyo ya hivyo bwana, tabu kuwa na familia ya msimamo maana unakuwa mbali na nyumbani zaidi ya miezi, hii ni kwa wale wanaofanya international waters.
 
Tunacho angalia nimasilahi na malezi ya watoto hutokana na mwenzi uliye naye so usifanye watu wakashindwa kuipenda kazi hiyo
 
Back
Top Bottom