What are some traits of genius people

What are some behaviour that only genius have and not a normal person, perhaps I may be the one. Or what is the difference between smart or intelligent people and genius.?
Tabia ambazo zinapendwa na wengi hizo ni tabia za kigenius.

Na akifanya mambo ambayo watu watanufaika.

Na akifanya mambo ambayo yatatatua changamoto za watu.

Hakuna genius duniani ambaye hajatatua shida watu na kurahisisha maisha yao.

Aliyegundua simu karahisisha mawasiliano

Aliyegundua umeme karahisisha mambo mengi.

Huo ndo ugenius kwamba uwe na matokeo ambayo yatatatua shida za watu na kuwarahishia maisha zaidi ya walipo.

Magenius wa jamiiforum kazi yao kusema Mungu hayupo weeeeee,dini ni upuuziiiii alafu hatuoni mapinduzi yoyote yale wanayoyafanya katika maisha ya kawaida.
 
Nakubali kaka
 
Asilimia kubwa ya wanadamu sio ma genious nikiwemo mimi genious ni mtu mwenye akili kuanzia IQ 130 Kwenda juu sio mchezo kabisa mimi nadhani nina 80 iq ,ila nimebahatika kuwa karibu na ma genious wengi huwa rafiki zangu nilivyo wachunguza mimi huwa wengi wanatabia hizi
1.Hukaa mbali na mapenzi hasa wa kiume wengi hawaoi na wakidate hawawi serious na mahusiano mambo ya i miss u sijui love u hawawezi.
2.Huwa hawapendi mambo ya dini wengi hata nyumba za ibada hawaendi ila hawapingi lolote,kifupi mambo ya dini yanawaboa.
3.Wanaongea peke yao na kupenda upweke ,labda sababu wanaona wengi hawawaelewi
4.Huwa wako rough ila wasafi,utakuta kafuga mindevu ,kama ni demu unakuta ni pisi kali ila inavaa manguo yasiyo sex masurualy makubwa mara mabuti etc maana huwa hawajali sana wanaonekanaje
5.wanapenda kula kucha au kama hali basi huwa hawezi kaa sehemu moja kama uko baa angalia wale jamaa wanakuwaga counter laki kila saa anatembea tembea
nimechoka kutype
 
Unapimaje hyo IQ mkuu
 
Unapimaje hyo IQ mkuu
Kuna upimaji wa maswali ,kitafsiri ,picha ,uharaka wa kutatua fumbo etc ni model inatengenezwa wana psychologia wabobezi ..mfano wale mabingwa wa draft huwa wana score iq kubwa sana
 
What are some behaviour that only genius have and not a normal person, perhaps I may be the one. Or what is the difference between smart or intelligent people and genius?
Ni watafiti sana.
Wanapenda kuhoji vitu ila si watu
 
Asilimia kubwa ya wanadamu sio ma genious nikiwemo mimi genious ni mtu mwenye akili kuanzia IQ 130 Kwenda juu sio mchezo kabisa mimi nadhani nina 80 iq ,ila nimebahatika kuwa karibu na ma genious wengi huwa rafiki zangu nilivyo wachunguza mimi huwa wengi wanatabia hizi
1.Hukaa mbali na mapenzi hasa wa kiume wengi hawaoi na wakidate hawawi serious na mahusiano mambo ya i miss u sijui love u hawawezi.
2.Huwa hawapendi mambo ya dini wengi hata nyumba za ibada hawaendi ila hawapingi lolote,kifupi mambo ya dini yanawaboa.
3.Wanaongea peke yao na kupenda upweke ,labda sababu wanaona wengi hawawaelewi
4.Huwa wako rough ila wasafi,utakuta kafuga mindevu ,kama ni demu unakuta ni pisi kali ila inavaa manguo yasiyo sex masurualy makubwa mara mabuti etc maana huwa hawajali sana wanaonekanaje
5.wanapenda kula kucha au kama hali basi huwa hawezi kaa sehemu moja kama uko baa angalia wale jamaa wanakuwaga counter laki kila saa anatembea tembea
nimechoka kutype
Hahahhahaha nang'amua kitu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom