What actually makes people stay in their cars for long before entering the house?

Kumpa muda mgoni wako kutoroka
Hii ni sawa kabisa si vizuri kufumania,make hata wazee zamani walikuwa wanafanya hivyo,akitoka safari anapitia grocery ambayo ipo karibu anapata chochote km ana mzigo anamtuma mtoto yeyote jirani aupeleke kwake lengo ni kutuma taarifa kuwa amekuja incase km kuna uchafu home mama arekebishe

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Jichagulie hapa;

1.kusoma na kufuta mawasiliano tatanishi.(sms,call logs, nk)
2.kuficha hela/walet
3.kusali kumshukuru Mungu
4.kusubiri gari ipoe baada ya mwendo mrefu
5.kufanya mawasiliano hasa wale walio kutafuta wakati wa safari.

Unaweza ongezea
Gari huhitaji cooling, unasubiri kuzima
 
What actually makes people stay in their cars for long before entering the house?
hawajashikwa na tumbo la kuhara(Diarrhea).

chezea tumbo la kuhara wewe. utahisi unachelewa kufika home....na ukifika tu, fasta unashuka kwenye gari kuwahi chooni.
 
Hii ni sawa kabisa si vizuri kufumania,make hata wazee zamani walikuwa wanafanya hivyo,akitoka safari anapitia grocery ambayo ipo karibu anapata chochote km ana mzigo anamtuma mtoto yeyote jirani aupeleke kwake lengo ni kutuma taarifa kuwa amekuja incase km kuna uchafu home mama arekebishe

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Na ndio sababu ndoa zao zilidumu sana. BUSARA inatuelekeza kwamba "Usimfumanie kama huna mpango wa kumuacha baada ya fumanizi", kwa sababu itakutesa maisha yako yote.
 
Huwa sishuki nasubiria adi mziki wangu nnaoupenda uishe..ikiwezekana nirudie sehem nnayoipenda zaidi ya mara mbili..nafuta chats za ovyo then naingizana mjengoni
 
Na ndio sababu ndoa zao zilidumu sana. BUSARA inatuelekeza kwamba "Usimfumanie kama huna mpango wa kumuacha baada ya fumanizi", kwa sababu itakutesa maisha yako yote.
True brother,siku hizi eti mtu anafumania meseji kwa simu mnaachana!!!!Duu, hatari sana,ni wanawake wachache sana ambao wanajua kuwa simu ya mme haipekuliwi kwn kifatacho chaweza kumdhuru mpekuaji mwenyewe
 
Correct. Hata mie huwa sipekui simu ya mke, naweza kukuta mamo ambayo yanaweza kunifuishi safari ya maisha yangu.
 
Back
Top Bottom