What a women wants

jimwax

Member
Sep 10, 2010
6
0
Women, they all have needs which tend to be different depending on the enviroment and their backgrounds in some ways u cant realy put a formula but there things that women expect and realy find it attrative list below are what women wants i wonder if u would agree or not bt its open for suggestion.
1. A clean,smart man
2. A man who is willing to listern and pay attention to a woman.
3. A man who hardworking with realistic dreams.

Well there so many more but let me let you all do the rest continue from 4...
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
awe na ndevu.
km ulivyosema bwana apa auwez kuandika chochote juu ya nini mwnadamu eva anataka...
ukimpata mwulize atakwambia nin anataka thats ol.vngne vyote ni egneral n for common formula per human being...usafi...ajitambue sjui nini sjui nini...etc....
byeeeeeee naenda lala mie...lakin sipend mwanaume anayelaa...apo chacha!!!!
 
Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,213
2,000
Just use kiswahili the next time u post. Kifupi mwanamke anataka kuchangamshwa. Fikiria namna yoyote unayoweza kumchangamsha
 
Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
763
0
Women, they all have needs which tend to be different depending on the enviroment and their backgrounds in some ways u cant realy put a formula but there things that women expect and realy find it attrative list below are what women wants i wonder if u would agree or not bt its open for suggestion.
1. A clean,smart man
2. A man who is willing to listern and pay attention to a woman.
3. A man who hardworking with realistic dreams.

Well there so many more but let me let you all do the rest continue from 4...

4.mkwanja wa kufanyia shopping ya nguo,viatu etc:teeth:
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,586
0
cha msingi awe na bastola inayoshoot bila matatizo,
kama nimempenda hata kama sio smart naweza kumbadilisha taratibu.
hata hivyo nimejisemea tu, kusema kweli hata cjui ni nini napendaga kwa wanaume,mi huwa najikuta nishapenda tu!
 
seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
Women, they all have needs which tend to be different depending on the enviroment and their backgrounds in some ways u cant realy put a formula but there things that women expect and realy find it attrative list below are what women wants i wonder if u would agree or not bt its open for suggestion.
1. A clean,smart man
2. A man who is willing to listern and pay attention to a woman.
3. A man who hardworking with realistic dreams.

Well there so many more but let me let you all do the rest continue from 4...

well well: Better still for you title: What Women want...

Jibu: "want" is relative...
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,586
0
Nasubiri jibu lake kwa hamu.Cheusi mbona unataka kuanza mapya tumezoea wanaume wenye wake wengi sasa we unataka kuwa na waume wengi ?

haha,sio hivyo mpenzi, yeye si kasema 'kuwowa'?angesema kuoa ningekataa sbb tayari upo na mie ni wa mmoja tu hata yeye anajua hilo.
BTW,nilikumiss kweli sweetie!
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
55,465
2,000
Women, they all have needs which tend to be different depending on the enviroment and their backgrounds in some ways u cant realy put a formula but there things that women expect and realy find it attrative list below are what women wants i wonder if u would agree or not bt its open for suggestion.
1. A clean,smart man
2. A man who is willing to listern and pay attention to a woman.
3. A man who hardworking with realistic dreams.

Well there so many more but let me let you all do the rest continue from 4...

Mwanamke anayeandika "a women" ana guts za kutaka "a smart man".

Au ndio habari za kutaka kutoa umaimuna ?
 
uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,725
1,225
haha,sio hivyo mpenzi, yeye si kasema 'kuwowa'?angesema kuoa ningekataa sbb tayari upo na mie ni wa mmoja tu hata yeye anajua hilo.
BTW,nilikumiss kweli sweetie!

Kama hivyo nimeelewa hata mie nimekumiss saana na nilijua nitakupata mitaa hii saa hizi nikakaa macho,sasa huyu afrodenzi nimfanyeje sweety kanikaba sana au unakubali awe no. 2 ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom