What a corrupt regime!!! It stops with Kikwete!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Are these people like Medusa? how can they even function with this level of corruption? Its as if somebody out there is dreaming about a newer way of siphoning the public money at warp speed! From one corruption to the next corruption scandal and some stupid politician keep telling us that JK is doing a "good job" but he is let down "by his subordinates" are you serious!?

xxxxx censored... xxxxx

This is enough.
 
Nikwambie Mwanakijiji,huko ndani ya CCM hakuna mzuri hata mmoja. Mbona kama wapo hawafukuzi waliowachafu zaidi ya kupiga blabla na nchi inaangamia? Huwezi kuishi ndani ya Dampo kisha ukasema wewe ni msafi.TOKA BASI. Upo ushauri mwingine ili kuleta mabadiliko ktk nchi hii, ila tukiutoa tutaitwa wahaini.
 
They are not SERIOUS!!!!!... wanajikomba tu. Muungwana is careless, na hao walarushwa wote wanajua Muungwana hana uwezo wa ku-deal nao!!! What a CRAP!!!!!
 
Nikwambie Mwanakijiji,huko ndani ya CCM hakuna mzuri hata mmoja. Mbona kama wapo hawafukuzi waliowachafu zaidi ya kupiga blabla na nchi inaangamia? Huwezi kuishi ndani ya Dampo kisha ukasema wewe ni msafi.TOKA BASI. Upo ushauri mwingine ili kuleta mabadiliko ktk nchi hii, ila tukiutoa tutaitwa wahaini.

I think Mkjj is gunning down more at 'nchi wahisani'!
 
Kwa sasa wanajipanga kuja na deal la vitambulisho vya taifa ili wapate hela za uchaguzi!
No wonder katibu wa wizara ya mambo ya ndani alihamishwa na wameweka mtu wao ili wachume vizuri kupitia mgongo wa vitambulisho vya taifa!

Halafu tunasema watendaji ndo wanamuangusha?!
What a country?!
 
Haitoshi kusema enough kwani hata Nyerere alisema enough..Hivi kama viongozi tuliowapa madaraka wameshindwa kuchukua hatua kwa walithibitika kuwa wala rushwa na watoa rushwa,je sisi raia wa kawaida hatuwezi kufanya chochote cha kubadili nchi..hivi kujadili tu humu JF na kwengineko inatosha?hakuna mtu wa kumfunga kengele JK..JK hawezi kuwaadabisha surbodinates wake hata siku moja kwani hata yeye anafahamu kwamba sio msafi na kwa upande mwingine wanakula meza moja..Jamani mimi nimechoka kujadili jadili tu..tutajadili mpaka lini wakati Rais wetu hasikilizi kelele zetu,hazimnyimi kabisa usingizi wala hawezi kuacha kula kwa mijadala yetu..Anaendelea na maisha yake kw amani kabisa.
 
Mwanakijiji
Tatizo la umma wa Tanzania ni kupenda mepesi mepesi mnooooooooooooooooooo...

Tabia ya siasa za chuki binafsi (yakuongeleaa watu fulani katika mfumoo ulioozaa) badala ya kuushambuliaa mfumoo bila kuangalia nani akivaa nguo anapendeza, yupi mnene, mwembamba au mwenye maneno ya huruma na hulka ya uungwanaa NDIO KILEMA CHETU..

CCM ya akina LOWASSA na AKINA SITA NI MOJA..Hawa hawana tofauti yeyote zaidi ya ni yupi mahiri kutafuta umaarufuu zaidi kwa UMMA.

Mabadilko katika maisha ya umma hayawezi kuletwaa kwa kuwapinga au kuunga mkono kundi lolote ndani ya TAASISI yao CCM.

Tatizo la umasikini wa nchi hii ni CCM kupitia mfumo wake wa kiuongozi wa kinyonyaji..period.
 
Haitoshi kusema enough kwani hata Nyerere alisema enough..Hivi kama viongozi tuliowapa madaraka wameshindwa kuchukua hatua kwa walithibitika kuwa wala rushwa na watoa rushwa,je sisi raia wa kawaida hatuwezi kufanya chochote cha kubadili nchi..hivi kujadili tu humu JF na kwengineko inatosha?hakuna mtu wa kumfunga kengele JK..JK hawezi kuwaadabisha surbodinates wake hata siku moja kwani hata yeye anafahamu kwamba sio msafi na kwa upande mwingine wanakula meza moja..Jamani mimi nimechoka kujadili jadili tu..tutajadili mpaka lini wakati Rais wetu hasikilizi kelele zetu,hazimnyimi kabisa usingizi wala hawezi kuacha kula kwa mijadala yetu..Anaendelea na maisha yake kw amani kabisa.

Yaani I agree kabisa na wewe, mie siku hizi nimeacha hata kuchangia mambo ya siasa, we always do that halafu basi. It doesnt help much coming in here and put some articles or express our feelings, while these people continue to do what they want. Hii nchi ina viongozi waliiooza wasiosikia vilio vya wananchi wao. It is about time we do something about it my fellow Tanzanians, I dont know what it is but we have to. Think Tanzanians! Think! Think! We can do it with unity!.
 
Now listen to this. Corruption is like a pit latrine. When you visit the pit latrine you immediately notice change of environment. Those who use this facility can attest to this. At first you can hardly stand the pungent smell permeating through the air. However, as you settle down you gradually get accustomed to the foul smell and before you realize you might become part of that environment and end up getting polluted. In fact you can hardly notice the difference anymore until you make an exit back to the fresh air.

Corruption has similar attributes. The more you stay in the corruption prone environment (juts like the pit latrine) you gradually start loosing your "immunity" and eventually get corrupted by assimilation. No one in CCM top echelons is immune from Corruption!
 
the problem is with the prezida himself..? kikwete is to blame for all these failures of this regime..? he thinks he can smile thro the wicked heart of wealthy-thirsty-corrupt politicians and majority of them r his aid.

I can not see all these happening under the watch of the great Mwl JK nyerere..! (may his soul rest in peace) the truly son of Tanganyika .

KIKWETE WAKE UP...!!!!! u hv been sleeping for four years now!!!

OR ELSE, LET THE MAJEMBA AUCTION MART HANDLE THE STATE HOUSE. bcoz thats wat we can do best!
 
Hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu na sasa wanachofanya ni kutiliza madonda yao na kuona kuwa uchaguzi upo karbu na pia ni bora wakafukuzwa kuliko kubako ndani
 
So funny eti 'Majembe Auction Mart can handle the State House.' Well what else can we say or hope? Ni vibaka tu kuendesha inji labda kitaeleweka. Huyu mkulu naona bado yupo honeymoon ya kuapishwa kuwa rais.Atakaporejea basi labda kitaeleweka. Tanzania ina viongozi waliolala usingizi wa mang'amu mang'amu sasa hivi uchaguzi unafika ndio wanaanza kutoa ahadi za hapa na pale. Wabunge wote wawe ni chama tawala, vyama vya upinzani, wateuliwa etc. HAMTUFAI NDIYO TUNASEMA HAMTUFAI NENDENI TUMEWACHOKA
 
Siku itakayowaka moto sijui nani atapona lakini ishara zote zinaonekana hivi sasa, Chama Cha Majambazi wamelala usingizi wa pono hawajui huko nje mambo gani yanafanyika.
 
Are these people like Medusa? how can they even function with this level of corruption? Its as if somebody out there is dreaming about a newer way of siphoning the public money at warp speed! From one corruption to the next corruption scandal and some stupid politician keep telling us that JK is doing a "good job" but he is let down "by his subordinates" are you serious!?

xxxxx censored... xxxxx

This is enough.

MKJJ,hii inaweza kuwa set up ya serikali kushinda uchaguzi mkuu,amin nakwambia ikifika uchaguzi mkuu,wenyeviti wa vijiji,madiwani nk,watakuwa wameshafikiwa,halafu JK atawaambia wananchi wampe kura aendeleze kazi,wakimpa anaunda tume itakayoripoti mapendekezo kwenye vikao vya ccm,anamalizia ziara zake ili kufikisha malengo yake ya nchi anazotaka kuzitembelea,anahakikisha ana mkono wake kwenye kumpata mgombea urais anayefuata ili naye aachwe apumzike,hakuna kitakachobadilika ndani ya ccm,na hivyo mambo yataendelea kuwa yale yale ama even worse.
The only other option zaidi ya upinzani ambao naona uko benchi ukikodoa macho,ni hao wanaojiita wapiganaji kama kweli ni credible ama la,tusubiri their next card then tutajua,it has to be very soon coz time is running out,lazima iwe before the end of this year.....Last but not leastly ni mapinduzi ya one way or the other.
 
Back
Top Bottom