Wezi wa ndoa muda wenu umeisha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
BABA KATIKA JINA LA YESU
JIONI HII NAKWENDA KINYUME NA KILA NGUVU ZINAZOONGEZA NYUMBA NDOGO KWA MWANA JF NA KILA MTANZANIA..NINALAAN KILA ALIEVAA VAZI LA KUTOFUNGA NDOA
VAZI LA KUACHIKA ,VAZI LA KUTEMBEA NA HGIRL,VAZI LA KIFO,VAZI LA MADENI,VAZI LA NYUMBA NDOGO,VAZI LA KUTOKUWA NA AIBU,,KWA JINA LA YESU NINAKWENDA KINYUME SASA,,NALAANI EWE MWOVU SHETANI UNAEFANYA WATU WAACHE KUMTUKUZA MUNGU NA KUKIMBILIA MAMBO MACHAFU,...KWA JINA LA YESU NINATANGAZA KUVAA VAZI LA FEDHA,VAZI LA KUKUBALIKA ,VAZI LA KUOA/KUOLEWA,VAZI A KUMPENDA MKEO/MUMEO NA KUACHANA NA NYUMBA NDOGO KWA JINA LA YESU NINATANGAZA KILA ANAESOMA MAHALI HAPA AKAWE NA UWOGA WA KUANGALIA PICHA CHAFU ZISIZOKUPENDEZA WEWE KWA JINA LA YESU.....KILA ALIE BAR SAA HII AKILA NYAMA CHOMA CHOMA NA KURUDI NYUMBAN AMESHIBA HUKU FAMILIA IKILALAMIKA MLENDA KILA SIKU NINAWALAANI NYIE MLIEKUWA NAE MNAOTUMIA PESA ZAKE NA KUACHA FAMILIA KWA JINA LA YESU NINAWALAANI ENYI MAPEPO ENYI WEZI WA NDOA ZA WATU KWA JINA LA YESU USIKU WA LEO MUNGU AKAWASAMBARATISHE IN JESUS NAME

amen
 
Amin. Kwani zamani hukuwa hivi? umepata maombi hadi ukabadilika kaka? ama mtakatifu kakushukia ghafla? i buy you, good advice kwa wote wenye tabia hiyo na waliokuwa wanafikiria kuwa hivyo.
 
amin. Kwani zamani hukuwa hivi? Umepata maombi hadi ukabadilika kaka? Ama mtakatifu kakushukia ghafla? I buy you, good advice kwa wote wenye tabia hiyo na waliokuwa wanafikiria kuwa hivyo.


favour mkuu
ukifika wakati nyakati basi favour inafungua kile kilichofichwa tunaitaji favour ya yesu tuonekane bora kwenye jamii auitaji just elimu uwe bora unaitaji kibali cha mungu ufunguliwe uone yalio mema na mabaya else utaishia kuhudhuria kanisani na kutoa sadaka nyingi nyingi na kufanyika msukule wa kanisa huku wachungaji wakizipokea sadaaka zako na kutenda kazi ya bwana...
 
this is gooodooooooooooooooo :confused2:inawezekana kwa hisani ya watu wa wamarekani
 
this is gooodooooooooooooooo :confused2:inawezekana kwa hisani ya watu wa wamarekani


aaaahhhaaaa

amen n amen ubarikiwe unaetenda kazi ya bwana na si kusikkiliza

be blessed
 
Bwana wa mabwana leo ainuliwe!! Lakini nimecheka sana hii sala hata shetani akiisoma atarudi kuzimu.
 
aaaahhhaaaa

amen n amen ubarikiwe unaetenda kazi ya bwana na si kusikkiliza

be blessed

Hivi jana jioni wakati tumekaa wote ZERO PUB zile BIA SERENGETI ulizokunywa eliza akutuzidishia bili kweli nini kimekusibu na kuongea maneno haya au jana eliza alikuudhi nilidhani ulivyoondoka pale ulienda kutimiza sheria namba 3 ya INFIDELITY usipotee sana kwenye chama
 
pole finest....
zingatia sala acha blame
haleluya mtumsh mwema umeyatoa ya skukuuu!!!!!!!!!
 
pole finest....
zingatia sala acha blame
haleluya mtumsh mwema umeyatoa ya skukuuu!!!!!!!!!

Rose1980 mara ya mwisho kusikia ukilitaja hilo neno ilikuwa kama miaka 10 iliyopita hapo nahisi hata hiyo computer unayotumia itakuwa imepata mshtuko:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Hivi jana jioni wakati tumekaa wote ZERO PUB zile BIA SERENGETI ulizokunywa eliza akutuzidishia bili kweli nini kimekusibu na kuongea maneno haya au jana eliza alikuudhi nilidhani ulivyoondoka pale ulienda kutimiza sheria namba 3 ya INFIDELITY usipotee sana kwenye chama

Maombi yamekuingia....
 
Back
Top Bottom