wezi wa magari Dar waja na mbinu mpya

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
1,211
Salaam wanajamvi,

Hili limetokea maeneo ya Airwing Banana, wezi wa magar wanavaa sare za askar wa usalama barabara majira ya usiku na reflector wanasimamisha gar lako kama kuna kitu wanataka kukagua ile umesimama tu wanakuja wenzao toka mafichon kukupiga na kukutoa ndan ya gari, limemtokea mke wangu jana usku kilichosaidia gar haikuwa na mafuta ya kutosha likazimika njian na kulitelekeza barabara ya machimbo.. Jeshi la polisi tuelezen wazi muda wenu ni upi ili tusijeonekana tunakiuka kusimama kukwepa wez kma hivi.
 
Pole sana kiboko kwa usumbufu alipata "my wife wako"
vipi walimpora gari hawakumfanyia mambo mengine mabaya?
 
Siku mbinu za polisi zinapo gota ndipo mbinu za wezi na majambazi huanzia
 
Back
Top Bottom