NYOTIENO JARIEKO
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 196
- 324
Jamani leo Sina raha hata kidogo wezi wamepitia simu yangu bila kujua...iko hivi , Leo nikiwa kwenye mishe zangu saa 3_4 hivi Mara nyingi nikiwa kariakoo natembea haraka kulingana na idadi ya watu coz ukitembea taratibu huwezi kupishana na watu , niko hapa mwaka wa 4 kwa hiyo mm si mgeni kwa jiji la Makonda....nikiwa natembea service road na mnavyojua wa dar kwenye service road Kuna watu wanasaka tonge na Maanisha machinga wanaouza vitu pembeni pembeni...kwa hyo njia kwa wapita kwa miguu haitoshi inabidi utumie nguvu kidogo ...
sasa nikiwa napita Kuna jamaa kajikuaa (act) na mm ckutegemea akanipush na pembeni kulikuwa na wale wanaotengeneza simu nikayumba kidog nilivyorud nyuma kwa hasira coz jamaa niliona kafany kwa maksudi nikamrukia kwa miguu ...akanijibu ki ustarabu tu ...samahan kaka bahati mbaya nikaendelea na safar natembea hatua tano hivi naingiza mkono mfukoni cm hamna na pale hatujakaa hata dk moja .. .nikavuta kumbukumbu kipindi namrukia jamaa baad ya kunisukuma kulikuwa na wengine pemben na ndio wameniibia coz huy alienisukuma kwa makusudi nilimrukia kwa teke kifuatini akayumba ....
muda huo ndio nadhani wameniibia coz hakureact hata kidogo. ....na mm baad ya kumwona hajareact nikamuacha na kuendelea na safar na ndio napiga hatua tano nakuta cna cm ....kinachonishangaz jamaa wanaiba faster na kupotea haraka sana ...nimerudi haraka sana cjawakuta na kutokana na idad ya watu waliokua pale wamejichangany ...
Cha pili wale wanatumia dawa / kitu coz wametoa cm mfukoni chini ya dk1 bila kujua na mfuko ni marefu hata ukiweka cm haionekani ...naenda kumwomba mdog wg msamaha nilimtandika kwa hasir baad ya kuniomba na kung'ang'ania cm tukuwa kariakoo akitaka aone coz ilikuwa mpya ndio cku hyo tulinunua akajifany mjanja kariakoo akaniacha nyuma naongea na class mate yeye akaendelea na safar baad ya robo saa namkuta stendi amevimba macho eti kaibiwa nilimcharaz makofi kwa hasir na siku hyo kila mtu alifika nyuman kivyake ....
MDOGO WANGU NISAMEHE KWA UJANJA WANGU NA MM LEO NIMEIBIWA NA WASELA MAVI......
mpk sasa hv am more than 27 yrs ndio Mara ya kwanza kuibiwa bila mm kujua. dah..
Sent using Jamii Forums mobile app