Wezi wa Escrow ni Watesaji na Wauaji na zaidi ya Magaidi

jbmalya

Senior Member
May 1, 2012
111
0
Watanzania wenzangu, sisemi kwa maneno mengi.
wizi huu wa mabilioni ya pesa ni dhahiri ume athiri watanzania kwa kiasi kikubwa, kodi na bei za umeme zinapandisha ovyo, kumbe tunawanufaisha na kushibisha matumbo ya Kina Muhongo na wenzake.

Wangapi wamepoteza maisha kisa hakuna dawa??
Ni wangapi wanateseka kwa hali ngumu ya maisha kiasi kwamba wameona kama ni sehemu ya maisha yao.
Serikali iliundwa kwa kazi gani, na ni ya nini kama ndio imegeuka kuwa mwiba kwa Wananchi wake.

Hawa ni zaidi ya Magaidi, Hawafai, Adhabu yao ni sawa na Mtu aliye uwa kwa kusudia.
 

Daata

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
4,537
2,000
Mwenyewe kakomaa sio pesa za umma..wakati zilikaguliwa za CAG ... Sasa CAG anakagua mahesabu ya mashirika na makampuni binafsi...
Huku mawakili wa serikali kina Mkono wakila mabilioni kwa kuendekeza migogoro ili waendelee kula kila upande.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom