Wezesha tovuti hii ya kusajili wanafunzi kwa njia ya mtandao na uwe mmoja wa wamiliki

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,427
1,475
Sisi ni vijana tumeamua kuunda mfumo wa kusajili wanafunzi wa vyuoni,sekondari na taasisi mbalimbali za kielimu kwa njia ya on line na tayari system imekamilika almost kwa 100%.Lengo hasa ni kupunguza msongamano wa watu kipindi cha usajili katka taasisi husika na kumwezesha mwanachuo au mwanafunzi kuanza masomo cku ya kwanza afikapo chuo kwa kuwa taratibu za usajili anakuwa kamaliza mtandaoni.Tovuti yetu ni StudyTZ.COM Tunachahtaj ni wadhamini (kampuni,mtu binafsi au shirika lolote)katka gharama za kuendesha tovuti hii mana tunahtaj kununua space,mambo ya kumaintain domain na database kubwa ya kustore data na gharama nyinginezo .Kwa kuwa muda si mrefu itakuwa ni biashara kubwa hvo tunaomba wadhamini na watakuwa pia ni wamiliki katka mtandao huu.Kwa maulizo zaid 0716650756au 0714074040au email ni info@studytz.com asanteni
 
Wazo zuri kwa biashara nzuri! Sorry nlitaka kuandika kitu ila nimeona mawasiliano hapo, thanks.
 
Wazo zuri kwa biashara nzuri! Sorry nlitaka kuandika kitu ila nimeona mawasiliano hapo, thanks.

Shukran sana kaka tunakaribisha maswali, maoni,ushauri,mapendekezo kwa kuwa business hii ikitanuka twaweza kujitanua East africa nzima na tukifanikiwa ikiwa policy ya mashule na vyuo italeta hela nzuri tu na kwa kuwa garama ni ndogo wengi wataweza kumudu.Asanteni
 
Nlikuwa nataka kujua grosscost yenu,mmefikia wapi,mnahitaji kiasi gani ili kukamilisha mpango mzima?and share holder atanufaika kwa vigezo gani?ni hayo kwanza,asante.
 
Hii ni Biashara au Umeamua Kupunguza Msongamano?

Oke bos hii ni huduma ya kibiashara kwa kuwa tunachofanya tunaenda kuzungumza na shule husika kwa makubaliano maalum na baada ya kukubaliana tunaweka taarifa zote za shule husika hapo kwenye studytz.Mambo ya malipo pia inategemea makubaliano.Piga hzo namba utaeleweshwa kaka
 
Nlikuwa nataka kujua grosscost yenu,mmefikia wapi,mnahitaji kiasi gani ili kukamilisha mpango mzima?and share holder atanufaika kwa vigezo gani?ni hayo kwanza,asante.

Oke mdau ni pm au pga namba hyo au tucheki kwa email tukueleze zaidi.Thanks
 
Hongereni kwa kuwa na mawazo mazuri! Lakini sasa mbona nimeenda page ya kujiregister kwenye chuo cha zoom hata bila kujaza chochote nikasend ikaniambia "successfully sent" au bado hamjaweka any means of security controls?
 
security zipo za kutosha ndugu na ulichokiona sio kwamba info zimekwenda bali tuna trigger system kwenye database yetu ambayo hairuhusu empty fields kuingizwa na kuwa stored. But for the mean tyme tupo kwenye mchakato wa kuboresha settings flani flani ambazo zitaidesable send buton mpaka user atakapomaliza kufill info zote muhimu.
 
Hongereni kwa kuwa na mawazo mazuri! Lakini sasa mbona nimeenda page ya kujiregister kwenye chuo cha zoom hata bila kujaza chochote nikasend ikaniambia "successfully sent" au bado hamjaweka any means of security controls?

security zipo za kutosha ndugu na ulichokiona sio kwamba info zimekwenda bali tuna trigger system kwenye database yetu ambayo hairuhusu empty fields kuingizwa na kuwa stored. But for the mean tyme tupo kwenye mchakato wa kuboresha settings flani flani ambazo zitaidesable send buton mpaka user atakapomaliza kufill info zote muhimu.
 
Oke bos hii ni huduma ya kibiashara kwa kuwa tunachofanya tunaenda kuzungumza na shule husika kwa makubaliano maalum na baada ya kukubaliana tunaweka taarifa zote za shule husika hapo kwenye studytz.Mambo ya malipo pia inategemea makubaliano.Piga hzo namba utaeleweshwa kaka

Unamfahamu huyu mdau? Umejuaje ni Kaka?
 
Doyi nimekupm jana,xo tuma ktk email yangu niliyokutumia

nimeiona bos na nimeshampa mwenzangu mmoja tuandae hyo kitu then ntakutumia.Asante kwa kuonesha good respond
 
Hallo doyi!mmefikia wapi?mkitaka wasiliana nami mnitext through number 0767266814 coiz huwa cpokei namba ambazo cjazisave na most of the time nipo busy kidogo xo i prefer sms
 
Back
Top Bottom