Wezesha Dark Mode kwenye Chrome yako ya Android.

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Hivi karibuni,Dark mode imekua enabled kwenye recently update ya google chrome sio tu kweny PC hata kwenye Android.

Hivyo unaweza enjoy device yako wakati wa usiku pasipo ku enable night mode ,lakini pia ni nzuri kwa battery life.

Hivyo basi ,ku enable dark mode kwenye chrome ya Android kwa sasa lazima upitie baadhi ya step,mind you , feature ndio ipo tested saizi,hivyo unaweza pata some bugs japo mimi sjakutana nazo.

$Jinsi ya ku enable sasa&

1.nenda playstore na hakikisha ume update chrome yako,kama una latest versions basi skip hatua hii

2.fungua chrome,kisha paste chrome://flags kisha click go,hapo itakupeleka kwenye setting special ya ku enable dark mode.

3.kweny hiyo menyu utaona Sehem ya kusearch kwa juu kabisa..sasa hapo search

Android Chrome UI dark mode

Basi utapelekwa moja kwa moja kwenye sehem ya kuchagua from default ww weka enabled.

4.restart chrome yako,kisha click vidot vitatu kwa juu kulia kisha setting na shuka chini utaiona option ya dark mode ,basi uta turn on na utakua umemalza.

5.usipo ona option ya dark mode baada ya ku enable basi restart upya chrome yako kisha nenda setting tena utaona Option ya ku turn on.

Enjoy a Little tweak...




phs06xkimwqd82ulwbt8.jpeg
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom