Weweeee nimetimiza miaka miwili ndani ya Ndoa ya Christiani bila ngumi wala matusi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weweeee nimetimiza miaka miwili ndani ya Ndoa ya Christiani bila ngumi wala matusi!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Dec 29, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Weweeeee!!Namshukuru mungu nimetimiza miaka miwili kamili kwenye Ndoa bila ngumi wala matusi,wala kwenda viwanja na vimini!!Karibuni kwenye sherehe yangu!!!Najua kuna watu watasema kuwa ni kipindi kifupi ila kwangu najua ni muda wa kusherehekea kwa kuwa kuna majirani zangu hazipiti siku ni maneno kwenda mbele,kashfa, dharau na matusi juu!!Pia ukizingatia kipindi hichi cha utandawazi kila mtu anajua haki yake ya kutendewa kile ambacho nafsi yake inakitaka bila kufikiria yuko wapi na nani!!!


  Sina budi kusema mungu nipe uvumilivu niendelee hivyo kama walivyoishi mababu zangu!!!


   
 2. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera sana,uendelee kuwa hivyo...
   
 3. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nilitegemea kusikia miaka 10 (one decade) but only 2 years. Anyway nakupongeza kwa hilo ila weka nia uwe na same status baada ya miaka 10 itakusaidia.

  Maisha ya siku hizi yamekuwa na complication nyingi na muda unakwenda vibaya mno.

  Keep up the good work ni mfano wa kuigwa!!!
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  leo nenda kaaanzishe bifu basi japo mtest adha ya kugombana ndan ya nyumba inakuwaje!!
  unamaanisha aujawai kumnyina akanuna?daily sikukuuu?
  m jst joking bwana
  hongera...kuna mtu kaomba talaka wakat wapo honey moon...
   
 5. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  mkuu wa kazi ndio maana nikasema kuna wachangiaji wataona kama kero fulani kuleta miaka miwili tu mtu anaanza kupiga kelele lakini kwa hatua ambazo nimezipitia na uvumilivu ambao nimekuwa nao kwa kipindi hicho ni zaidi ya hiyo miaka 10 unayoisema kutokana na ulivyosema mwenyewe kuwa maisha ya siku hizi ni changamoto kwenda mbele kuanzia siku ya kwanza mpaka mpaka mwisho!!
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Rose; ninachokisema labda umekielewa vibaya hayo mambo mengine hayaepukiki ila kupata nguvu ya kuyahimili kwa muda huo sina budi kushukuru pamoja nanyi na kuwaomba wengine wasiogope inawezekana kinachotakiwa ni kuepusha hayo unayoyasema nikayaanzishe leo?Mtu akikusema ukikaa kimya kuna kosa?ndio hayo ninayojipa pongezi kwayo!! Kumbuka ndoa ni muunganiko wa viumbe viwili wanaotoka katika traits(innate) tofauti na kuamua kuishi pamoja kwa hiyo hayo hayaepukiki pia elewa kuwa kizazi cha sasa hakina uvumilivui kama kizazi kilichotuzaa ndio maana ukasema kabisa kuwa kuna mtu aliomba divorce akiwa honey moon.

  Na kwa msisitizo tupo honey moon kuamusha upya yale mapenzi yetu ya siku ya kwanza!!!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera ila wote sivyo tulivyo....WEWE NDIVYO ULIVYO!!!
   
 8. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unaniambia kuwa huwezi hata kuaapreciate mafanikio ulioyapata kwenye mahusiano yako kwa kipindi chote cha mahusiano?kweli wewe ndivyo ulivyo!! ila wanaoelewa wote ndivyo tulivyo!!!! ahahahahahaaaaaaaaaaaaa
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hongera sana, una haki ya kusheherekea, ndoa siku hizi zina expiry date kabisa
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa hiyo HONGERA niliyokupa ilikua ya nini kama sijafurahia mafanikio yako????
  Kilichofuatia hapo kilikua masahihisho ya signature yako!!Usiwe na haraka ya kujibu..........!!
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  pole sana maana munaishi kwa unafiki mkubwa wewe na mumeo/mkeo

  pole sana
   
 12. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
   
 13. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Asante mpendwa wangu!!!!
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  duu umenelewa vbaya shost pole mwaya
  soma vyema i just mean hongeren MNAUVUMULIVU CZ KUNA ENGNE WAMEACHANA NDANI YA HNY MOON SASA KUNIPA LEKCHA AS U DID AS IF NIMEKUTENGUA USEMI mmh ....apana
  lugha ya kinyume nyume sweeetie skumaanisha as u replyd
  poa.bye
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmh, jamani, Yawezekana tumezoea kusikia habari mbaya tu eeh!
  Nadhani tujifunze na kupenda kusikia habari njema kama hii.

  Mi nilikuwa natafuta mtu wakuongea kitu kama hiki aiesee.
  Miaka miwili ni midogo kwa sababu ya namba mbili, lakini kimaisha ni mda mrefu sana.

  Be blessed
   
 16. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Usijali Rose!!! Thanx kwa courage yako mpendwa wangu!!!!
   
 17. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Labda hajakuelewa kwa sababu ya hilo jicho la kukonyeza wengine tumekuelewa. Back to the topic hongera kwa miaka miwili. Kwangu nilifikiri ni mapema kumbe na mimi next month itabidi niadhimishe kwa nguvu miaka mitatu ya mafanikio makubwa. Mungu awajalie muendelee hivo maan........
   
 18. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,812
  Likes Received: 2,520
  Trophy Points: 280
  Asante Gerald kwa kusecond comment za Rose!!thanx all Guys kwa pongezi zenu!!!!
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Tupo pamoja, mafanikio yenu ni ya kwetu pia
   
 20. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  happy 2nd year anniversary, wish u gonna make it
   
Loading...