Wewe ungefanyaje

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,215
je hali kama hii ikikutokea ghafla huko bush ninicha kufanya?
 

Attachments

  • dfs.bmp
    791.1 KB · Views: 303
ningemkaribisha ndani! anaonekana ni mgeni aliyetoka safari ya mbali na amechoka anahitaji kupumzika. mhhhhh
 
Ohooo!!!
Huni fahamu mimi?
Unanichungulia nini huoni bunduki yangu hapo nje?
Nikimaliza kusoma kitabu hiki na hujaondoka ntakumaliza, manywele hayanitishi nimemwona Osama utakuwa wewe!!!
 
Yaani huyu jamaa kwa kosa la uzembe analolifanya hapo, namfananisha na Polisi wetu ambao hujisahau, mpaka inatokea wanafungiwa vituoni na majambazi, na kufanya unyama na uharibifu kwa rai.
 
hapo ningesali sala zangu za mwisho ...hakuna njia nyingine
Wakati unasali nae atakua anasali kumshukuru Mungu kwa kumpa msosi kirahiiisi

Onyo: Kaa tayari saa zote maana haujui siku wala saa, usiweke silaha yako mbali.
 
Chakaza umekuwa mchawi siku hizi eh? Mbona umegeuka kuku? Unajua ushirikina haufai chakaza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Chakaza umekuwa mchawi siku hizi eh? Mbona umegeuka kuku? Unajua ushirikina haufai chakaza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwi kwi kwi! unadhani nimependa kuwa kuku? hali halisi mkuu inalazimisha kuwa hivyo. Washirikina ni hao walionifanya niwe kuku.
 
hapo natoka nje namakaribisha ndani ataogopa tu yeye wanaakili sana wanyama atashangaa kuona natoka nje
 
Back
Top Bottom