Wewe ungechagua Lipi?

Dr Louis

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
442
421
Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni 1 muachane kama hautaki basi tegemea siku za hivi karibuni atakuacha tu.

Utachagua lipi kati ya hayo
 
Kama hauna mpango nae wa baadae si unakula m1 unamuacha mtt wa watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom