Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Tufahamiane zaidi
Ukishauona muonekano?
Ukishauona muonekano?
Haya mkuu, tafuta ambao hawajajichokea uowe!!
Amekusikia dada. Tatizo nawe ulienda kufanya kazi Bar bila ya kumtaarifu!Habari za mida bandungu?
Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya papuchi ya mwanamke aliyeko bar na hawa wadogo zetu, dada zetu na wengine walioko makwao, shule na vyuoni?
Unaweza kushangaa idadi ya wanaume waliomkula bar maid inazidi kidogo tu kwa hawa mnaowaita wametulia au hata wanalingana tu!
Jamani wanaume mjaribu kufanya tafiti kidogo hawa wa nyumbani ndo wabaya sana siku hizi, unakuta ka-dada kako form two tu, ila kana mabwana wanne, mbaya zaidi wanaume nao wanaviamini hivi visichana vidogo hawatumii hata kinga
Sasa kasheshe linakuja pale hao wanaume wanne wanaokakula haka kabinti nao wana wanawake kama sita sita tena pembeni yaani ni bonge moja la mtandao hapo ila unakuta mtu anajiaminisha kabisa
Hebu fikiria binti wa form one one nae siku hizi ana mabwana,, sasa piga hesabu ya kawaida tu yaani kambinti kamalize form one kakiwa kameliwa na mabwana wanne, form two napo kaliwe na wanne tena hivyo hivyo form three na form four maana yake kanamaliza O'level kameliwa na mabwana kumi na sita Advance je? na chuo vipi??
Hapo unakuja kuoa mwanamke kamaliza chuo ana fanya kazi ofisi fulani ambayo alipata kazi kwa kugawa uloda kwa boss wake, sijipigii debe kwamba niolewe me bado mdogo
Ila wanaume muamini hakuna tofauti kama unaoa oa tu, kuna huyu wakuchuja alidai mchumba wake kamkuta bar so anataka kuvunja uchumba
Narudia tena hakuna tofauti kati yetu,, kama unabisha nenda kaoe sehemu na wewe uishi hapo hapo na mkeo uone vile wale waliokuwa wanamkula mkeo kabla hujamjua wanavyoendelea kukupigia
Ila ukipata mwanamke ambaye amejichokea na maisha ukamtunza vizuri na bahati nzuri awe na hakili ya kujichunga mwenyewe utapenda,, haya basi walionielewa nendeni mkaoe popote oa tu!
Msamehe tu hakujua.Nani bar maid mkuu,, me nawafunda tu kaka zangu ungejua nina maisha gani, nafanya kazi gani na nina muonekano gani hata huwezi jaribu kunisemesha tukikutana
Sura mpya miguu ya zamaniID ya zaman
Hapa sasa ndo unaharibu, watu wa hadhi yako ndo wapi, wana mb*o za dhahabu au?Kuliwa naliwa tena sana nisiwe muongo, ila naliwa na watu wa hadhi yangu
Unatumia nguvu kubwa kutuaminisha kila mwanamke ana msururu wa mijibwana, hapana ni wewe tu na hao wenzio unaowajua...wengine mafaili yao masafi
Naomba contact zako za kazi, kuna bi dada nataka ukanifundieKuliwa naliwa tena sana nisiwe muongo, ila naliwa na watu wa hadhi yangu
Kuliwa naliwa tena sana nisiwe muongo, ila naliwa na watu wa hadhi yangu
Nilikuwa natania mkuuDaahh,!!!
Haya maneno yamenifanya nirudi rasmi kwenye chama langu la Chaputa
Nilikuwa natania mkuu
Unanijua au unanielewe kwenye keybordMiss_Irene binafsi nakuelewa sana
0711223366 napatikana hapo mkuuNaomba contact zako za kazi, kuna bi dada nataka ukanifundie
Unanijua au unanielewe kwenye keybord
Hata mimi nakukubali sana Psych counselorYani nakukubali sana
Sawa mkuuKosa halirekebishwi kwa kosa, kila mtu ana mapungufu yake pia kila mtu ana chaguo lake, kizuri kwako kibaya kwa mwingine! Bottom line ni kua kuna wake wanye vigezo vya kuoa na kuna wengine wana vigezo vya kua na urafiki tu! Kuitwa mke,mume au mzazi au mama/baba wa familia ni zaidi ya kupeana starehe!
Naona kuna chemistry kati yetu.Hata mimi nakukubali sana Psych counselor